Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hi wana JF kwa yeyote anaejua link mbalimbali ambazo naweza kudownload notisi za Physics, Chemistry, and Mathematics for A-level atupie hapo kitu hii itawasaidia wengi Salutyyyyyi kwenu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kuvifahamu na mahali vilipo hapa tanzania vyuo vya serikali na vya binafsi vinavyotoa clinical officers au diploma ya medicine. Jamani naombeni mnisaidie maana ndo tunaelekea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Madai ya walimu waliokosa ajira yatua OWM Na Benjamin Masese HATIMAYE sakata la baadhi ya walimu waliohitimu mafunzo yao ya ualimu mwaka 2009/2010 na kushindwa kuajiriwa limetinga katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani imefika wakati inabidi tufanye followups za hawa viongozi wetu kama wana meet deadlines na ku deliver on time. Nakumbuka Pinda alikiri mwenyewe kwamba UDOM mambo siyo shwari na la kwanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
baada ya makumira kugoma cku ya leo,hapa napata habari ya kua kesho ni zamu ya maINJINIA kugoma!habari ndo hiyo.....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepokea text kutoka kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Makumira, 'umesikia maandamano?' Nikamjibu, 'ndio nasoma kwenye JF, tatizo ni nini?' Akanijibu, 'mikopo na waliogoma wote ni Chadema'...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Private schools lead in Form II exam results Sunday, 23 January 2011 21:52 By Exuper Kachenje The Citizen Reporter Dar es Salaam. The 2010 Form Two...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Andrew G. Rosen, On Tuesday January 18, 2011, 2:10 pm EST Most of us rely on e-mail as one of our primary communication tools. And given the number of messages we send and receive, we do it...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahitimu ualimu wazua tafrani wizarani Na Benjamin Masese SAKATA la baadhi ya walimu waliohitimu mwaka 2009/2010 la kuvamia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi kudai ajira limeingia sura...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FAULU wa kidato cha pili umeshuka kwa asilimia 8.3 mwaka jana, ikilinganishwa na mwaka juzi huku watahiniwa 671 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu. Sababu zilizoelezwa kwa matokeo hayo mabovu...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Tarehe 19-januari-2011 RAIS wa JMT mh.dr.J.M K amezindua mpango wa elimu ya sekondari awamu ya pili Huku mpango wa MES awamu ya kwanza ukionyesha mafanikio mengi kuliko mapungufu awamu ya pili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
muda umeniishia kabisa na ninatakiwa kupeleka proposal kwa wakuu sasa nisaidieni. mfano wa problem ni kama vile Student perception toward mathematics at university level.ikiwa ni msaada nitafurahi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Source: Muslim heritage
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habar wana jf. Napenda niwasilishe masikitiko yangu juu ya mtazamo ambao wana jf mmejijengea juu ya chuo hiki. Lakin hii yote imetokana mambo makuu ma tatu. Kwanza ni kusadikika kama chuo hiki ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
This is a guide for both newbies just starting out with their first tie knot, as well as those more advanced students that would like to add some variety to their tie knots. All I ask of you is...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimiona tangazo tajwa ktk The Guardian.. Nahitaji kujiridhisha kuhusu hiyo shule na kozi(kwa maana ya uwepo wa walimu,uzito wake katia soko la ajira na kutambulika kwake hapa nchini) kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hod humu ndani! natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa aliye juuu!(mola). ni hivi waungwana, us department imenitumia e-mail kuwa nimechaguliwa kwenye hiyo permit tajwa hapo juu baada kufanyika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanafunzi wa chuo kikuu dodoma(udom) wameamka na leo hii walijitokeza kwa wingi ktk maandamano makubwa yaliyoandaliwa na chadema mkoa wa dodoma na kulaan mauaji ya arusha,sambamba na kuchangia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
By Philip Pullella Philip Pullella – 33 mins ago VATICAN CITY (Reuters) – God's mind was behind complex scientific theories such as the Big Bang, and Christians should reject the idea that the...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
kugoma kwa wahadiri UDOM, kwasababu ya maslahi wanatudhihirishia kuwa chuo hicho kilijengwa kwa msaada wa matajiri walioko nje ya nchi kama kina bilgates, haiwezekani serikali ijenge chuo kikubwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom