habari zilizonifikia hivi punde zinaonesha hali kuwa mbaya zaidi ktk mgomo wa wanafunzi udom(coed)pale ambapo wachache wanaojipendekeza kwa wakubwa wa chuo kuingia madarasani huku wengine...
ALL persons of who have attained the legal state of been to school have the right been there.
regardless of their status, weather deaf-blind, blind, cripple, or any of the disabilities, let it...
Mod,
Niwiye radhi kama itakuwa ni tatizo la matumizi ya techno hii. Kwa siku kadhaa nimeshindwa ku-trace threads ambazo zinatueleza matatizo ya UDOM.
Ipo trd ambayo binafsi nilichangia nikieleza...
Baada ya kile kinachodaiwa kushindwa kwa serikali legelege ya wanafunzi wa kitivo hicho, kusimamia msimamo wao wa wazirl mkuu mh.Pinda kuongea na wanafunzi wote,vilevile hasira kali zimeibuka...
Mkuu wa chuo Prof Kikula kasema baada ya wajumbe 30 wa seneti kukaa wata watunuku shahada ya heshima ya uzamivu a.k.a udaktari mh JK na marehemu Kawawa katika mahafali ya kwanza ya UDOM tar 26 nov...
Serikali kuwaajiri walimu 9,000
Na Edmund Mihale
SERIKALI imerudisha matumani ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu waliomaliza katika nyuo, mbalimbali hapa nchi baada ya kutangaza kuwaajiri...
Taarifa za kuaminika kutoka UDOM zinasema kuwa, Mh. Mizengo K.P. Pinda, leo alikuwa na mkutano na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa takribani masaa 3. Akiwa Chuoni hapo wahadhiri...
Habari zenu waheshimiwa wote,naomba muongozo wenu katika hili katika kusikiasikia kwangu nimesikia kuwa kuna mbingu 7 (7 layer na 7 Heaven)na nikasikia kuwa km 640 kutoka usawa wa ardhi ndio kuna...
NAIROBI, Jan. 14 (Xinhua) -- Wikipedia Foundation has launched an offline encyclopaedia for primary and secondary schools in Kenya.
The CD version named Wikipedia Offline Encyclopaedia would...
Ndugu zangu ingawa niko mbali ila taarifa za kuaminika kutoma UDOM- Chimwaga dakika chache baada ya kiako na waziri mkuu kimethibitisha kwamba wahadhiri wa UDOM walikuwa wakichakachuliwa mishahara...
wanafunzi wa UDOM, nimeona niwawekee hii makala hapa muisome kama hamjabahatika kusoma gazeti la Tanzania daima la Leo. Namuunga mkono 100% mwandishi wa makala hii, yanayowakuta mmejitakia...
MGOMO wa wanafunzi na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) umechukua sura mpya baada ya wanachuo hao kumteka na kumweka chini ya ulinzi kwa saa nne Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, John Tupa, wakitaka...
Kwa muda mrefu sana kumeekuwa na mijadala hapa JF kuhusu ubora wa elimu vyuo vyetu vikuu.Wengine wamefika mbali sana na kudhani kuwa vyuo vingine ni bora kuliko vingine.Mjadala mkubwa ni kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.