Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Dear great thinkers, iam a candate for msc. In construction economics and managemnt in one of the universities, currently iam doing my dissertation on the role of international chamber of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina kijana wangu ambaye nataka akasomee shule ya Secondary huko Uganda yeyote mwenye contact na shule ya secondary nchini Uganda anisaidie pamoja na ushauri wowote ule nitazingatia.:A S 27:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mnijulishe sehemu zenye waalimu wazuri Wanafundisha masomo ya uhasibu kwenye level Ya module E na F.Hasa siku za weekends
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna taarifa zimesikika kuwa wanafunzi wa UDOM wamepitisha mchango kwa ajili ya watu waliokumbwa na madhara yalioletwa na polisi waliotumia nguvu kubwa kuzuia maandamano ya CHADEMA kule Arusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Accenture, Tanzania, and virtual education A step in the right direction.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kile kinachosemwa ni kutofurahishwa na namna jeshi la polisi linavyoikanyagakanyaga misingi ya Demokrasia,wasomi udom wanajiandaa kuitwangia serikali waraka wenye kurasa 100 kuilaumu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tumeanza kutengeneza poscast zinazohusu masuala ya IT,huu ni mwanzo ambapo kila siku zinavyosonga tutakuwa na mambo mengi tofauti huku tukiwashirikisha wadau wengi zaidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Google is actually the common name for a number with a million zeros Canada is an Indian word meaning "Big Village". Switching letters is called spoonerism. For example, saying jag of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sheria za elimu zina upungufu Samwel Mwanga NI muda mrefu sasa tangu tupata uhuru; serikali imekuwa ikiendelea kutunga sheria...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna kozi zinaendelea kutolewa kupitia LIVE VIDEOCONFERENCE katika centre ya Tanzania iliyopo UDSM. Project hii ipo katika nchi 53 za Africa na watu wanasoma huku wakimuona mwalimu LIVE katika big...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jf kuna habari kuwa hadhi ya chuo kikuu cha dar es salaam inazidi kuporomoka kutokana na vyuo vya ardhi na mhimbili kujitenga.sasa imebaki engineering tu inachokibeba chuo.aidha inadaiwa kuwa...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Salamu wakubwa nimeinyaka taarifa hii kutoka mtandao wa gazeti la Mwananchi Monday, 03 January 2011 19:43 Nani wanastahili kupewa shahada za heshima? Na Florence Majani AGOSTI mwaka jana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Nimehitimu chuo kikuu mwaka wa masomo uliopita katika chuo kikuu fulani hapa Tanzania. Bado sijaajiliwa lakini natamani sana kujiajili kama social enterpreneur kwa kuanzisha non...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbwete abeza vyuo vya bweni Na Charles Mwakipesile, Mbeya MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Huria nchini, Prof. Tolly Mbwete ameishangaa na kuibeza mikakati ya serikali kuhusu kujenga vyuo vikuu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ni mara nyingi nimekuwa nikijiuliza juu ya kiwango cha elimu kinachotolewa hasa katika taasisi zetu za elimu ya juu kama vyuo vikuu. kumekuwepo na idadi kubwa ya uandikishaji (addmission) jambo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani hivi serikali imeshindwa kuwaajiri walimu wapya wa shahada na stashahada?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Denmark: The Women’s Water Fund 2011 Mallaba Foundation updated:2010-12-29 23:23:47 hits:14 The Women’s Water Fund is an initiative of the DHI Group, initially funded by the “King Hassan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UNFPA The Special Youth Programme Fellowship Mallaba Foundation updated:2010-12-29 23:28:48 hits:12 The Special Youth Programme fellowship consists of an initial 4.5 months fellowship...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Japan: 15 Master Scholarship in Infrastructure Management Mallaba Foundation updated:2010-12-29 23:31:51 hits:15 Yokohama National University has for many years been instrumental in providing...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MA Studentships Department of Philosophy at University of Leeds (2011-2012) Mallaba Foundation updated:2010-12-29 23:14:23 hits:11 Up to four MA Studentships and additional bursaries in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom