Ndugu wanaJF, nilikuwa Algeria kwa wiki moja hivi na huko nimeonana na baadhi ya Watanzania, ambao wameamua kufanya kazi huko kuliko kurudi Tanzania kwa kile walichodai "viongozi wetu ndio...
Salaam wana JF.,
Yamepita ya UDOM na MUHIMBILI Univ. kumtununuku udokta mkwere., Mzumbe University ndio wanafanya mahafali leo., Tutarajie nini kutoka kwao ukizingatia kuwa ni chuo maswahiba wa...
Kwa miaka mingi, Mfumo wa utawala wa siasa umeomanishwa na utawala wa serekali. kwa namna hii tofauti na nchi kama Ethiopia, wananchi wa Tanzania kwa kupitia serekali yao, mashirika ya umma na...
MKUU wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Stanley Kolimba, ameshtushwa na taarifa kuwa Shule ya Msingi Mbuyuni katika Kata ya Kigwa, ina wanafunzi 584, walimu sita, vyumba vya madarasa viwili na vyoo...
Bara la Afrika limekuwa likikumbwa na matatizo yanayofanana mfano: angalia Ivory coast, Zimbabwe, Kenya, Sudan na kwingine. imefika wakati baadhi ya watu wanajiaminisha kwamba hali hii inatokea...
"Wanafunzi darasa la saba 2010 wasiojua kusoma na kuandika, wamefaulu kujiunga kidato cha kwanza 2011 kwa asilimia zaidi". Haya ni maandalizi ya vibaraka au maprofesa katika TZ ya leo na ya kesho?
Wanafunzi Ardhi nao waanza mgomo
Thursday, 23 December 2010 20:08
Ibrahim Yamola na Imakulate Peter
MWAMKO wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kudai...
Serikali yasalimu masharti Udom Send to a friend Wednesday, 22 December 2010 19:49 0diggsdigg
Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha.
Habel Chidawali na Masoud Masasi, Dodoma
HATIMAYE...
Nimesoma comments kibao sana hapa JF kuhusu mgomo wa wanafunzi wa UDOM. Kuna theme moja nimeiona inashika moto hapa JF kuwa wanafunzi wa UDOM ni wana CCM. You know what, hata mimi nilikuwa...
Jana kulikuwa na mkutano kati ya uongozi wa UDOM na mawaziri wa Elimu na Mambo ya Ndani. Mkutano uliendelea hadi saa nane usiku wa kuamkia leo. Na leo asubuhi kulikuwa na msafara wa wote...
Wakuu hili neno kiukweli sijajua maana yake kamili labda inawezekana lina maana kubwa au lina maana nyingi. ningeomba wadau wanaojua maana yake halisi waweze kutuelewesha ,manake kwanza hili neno...
MGOMO wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wa kutokuingia madarasani kushinikiza wenzao waliokuwa wakishikiliwa na polisi kuachiwa pamoja na kupatiwa fedha kwa ajili ya masomo kwa vitendo...
MGOGORO katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), umeibuka upya baada ya wanafunzi wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii kugoma kuingia madarasani jana kwa lengo la kuushinikiza uongozi wa chuo kutoa agizo la...
Nimeongea na mwanafunzi mmoja pale chuoni ndo haya amenidhibitishia ijapokuwa wenye fani (waandishi wa habari) confirm zaidi;
Wanafunzi 2 wamekufa, hii inahitaji udhitisho.
wameporwa simu, fedha...
Wanafunzi wa Kile chuo kikuu kinachojulikana kwa wengi kama chuo cha CCM, UDOM wameanzisha mgomo tangu jana usiku na kuendelea asubuhi hii.
Mgomo huo ambao hasa unafanyika katika chuo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.