Chuo kikuu cha Dodoma katika college ya Sayansi ya jamii(College of Social Science and Humanities) wamegoma kwa sababu hakuna huduma ya maji hapo chuoni kwao pia wanadai waruhusiwe kufanya...
Ndugu wanaJF!
jana katika pita pita nilikutana na mzee mmoja ambaye alinihakikishia kuwa kutoka kwenye chanzo cha uhakika amepata habari kuwa kuna polisi walirape wanafunzi wakati wamewatawanya...
Wanajamvi nafikiria njia gani nzuri tunaweza itumia ili kupeleka ushawishi kwa wasomi walioko shule na vyuo kujiunga na kuutumia huu uwanja wa jf ili kupata taarifa.
Nawasilisha.
Wapendwa nilikuwa pale hazina leo nkapenda niwape tu vidokezo mwenye uwezo wa kufwatilia ajitahdi..nimekutana na wazee wawili na vijana wawili wakifwatilia yale malipo ya udom toka mwaka 2008...
When working to reform the educational systems nowadays we often hear the mentioning of the term critical thinking in discussions about educational reform, but it's not always clear what it means...
Jamani kwa wale waliosoma vyuo kama UDSM mnasemaje kuhusu walimu wa kibongo (Dr. & Professors)? Je ni kweli kwamba ni wanoko, au sisi wanafunzi hatuna akili, au basi tuu huwa hawataki mtu amalize...
Yes -- a general explanation
Hot water can in fact freeze faster than cold water for a wide range of experimental conditions. This phenomenon is extremely counter- intuitive, and surprising...
NDUGU wana Jf,habari
napenda niwape habari iliyotokea saa moja lililopita,kuwa hapa china Yangling katika chuo nisomacho NORTHWEST A&F UNIVERSITY mwanafunzi kutoka Bangradeshi ameuwauwa na raia...
Habari za ndani udom zinasema kuwa kuna wanafunzi wawili waliuawa kwenye maandamano, mmoja wao akiwa ni mja mzito. Lakini hili linafunikwa ili skendo hii isiwe isijulikane.
Yuko na mwanafunzi...
hapo majuzi vijana wa UDOM waliandamana wakiwa na nia ya kuelekea ofisini kwa mizengo pinda aka mtoto wa mkulima kufikisha kilio chao kwake.
wakiwa njiani pale makulu walikutana na FFU ambao...
Mimi nawashangaa sana wanaokiponda UDOM ni watu hatari sana katika mabadiliko ya elimu nchini wamesahau kabisa ukiritimba wa UDSM miaka iliyopita ambapo ma lecturer walikuwa wanajiona kama Miungu...
Hiiii ndiooo a aaaaaaaaaaaaaa ina mkia mbeleee aaaaaaaaaaaaa
eeeeee Hiiiii ndio eee eeeeeeee eeeeeeee iko kama kikombe eeeeeeeeee
iiiiiiiiiiiii hiiiiiiii ndio iiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ina...
Nipo naangalia This week in perspective TBC1. Miongoni mwa washiriki ni Dr Sengondo Mvungi ambaye amejitambulisha na ametambulishwa kuwa anatoka UNIVERSITY OF BAGAMOYO. Inawezekana kikawa ni chuo...
Natoa wito kwa uongozi wa serikali ya wanafunzi wa UDOM kutoa tamko la kuomba radhi kwa kitendo cha baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho kumshambulia mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi...
Wanachuo kozi ya art wi education wamegoma kwa kukosa mikopo kupitia tcu. Kwa madai kwamba kozi haitambuliki kisheria "kama hamtaki kusoma acheni" hii ni kauli ya prof mmoja mkuu wa chuo hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.