Le wanafunzi wa BACHELOR mwaka wa kwanza wa pili na wa tatu wameshindwa kuanza mitihani ya kumaliza semister baadaya walimu kugoma kwa sababu wanadai mishahara pamoja na marupuru yao ya miezi mitatu
Jamani naombeni mnisaidie swali langu ni kwamba ; hivi combination ya HKL ina jihusisha na maswala gani? iwapo ukifika chuo kikuu? naombeni msaada wenu
JAMANI KUNA NAFASI ZA MASOMO HAPA NI NYINGI INAKUA NGUMU KUZIANDIKA
ZOTE INA KWA NCHI ZINAZOENDELEA TANZANIA NI MOJA WAPO
NYINGI NI MASTERS JARIBU KUONA NINATUMAINI KUNA
MTU ZITAMSAIDIA SIO...
nimekua nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana, na pia niwewahi kuwauliza watu mbali mbali wanaonizunguka ninapoishi, wengine husema udaktari, wengine engineering, law, ualimu n.k...
Je wewe...
JAMANI NILIANGALIA CHANNEL 10 ASUBUHI MNA TAARIFA KJUNA CHUO KIKUU KINAANZISHWA KIPYA JINA NI KAMA NILIVYOTAJA HAPO JUU CHINI YA LHRC
Baraza la wadhamini linaongozwa na Askofu Sendoro
Makamu mkuu...
Kama kuna mtu yeyote ambaye ameona tangazo la mwaka huu 2011 kutoka wizara ya elimu na mafunzo kutangaza nafasi za wanaotaka kujiunga na masomo ya ualimu katika ualimu ngazi ya cheti katika vyuo...
Wanafunzi wa darasa la pili na tatu wa shule ya Msingi Magwalasi katika Kata ya Rujewa, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya wakiwa darasani wakiendelea na masomo kutokana na uhaba wa vyumba vya...
Wandugu nimejaribu kutafuta form za kujaza za kuli-seat kwa level ya form four kuna dogo anaitaji, nimetafuta naona kama na-prove failure. Hata kama kuna mtu ana link naomba aniwekee
Hi JF?
Hope everything is fine..
I coded an applet program and tried to compile it, there were no error..
But once I run, using applet viewer, the console of da applet comes with unexpected...
Madarasa mawili wasomea chumba kimoja
''Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, George Kagomba hakupatikana kuzungumzia tatizo hilo na alipotafutwa kwa simu alijibu kuwa yuko kwenye...
Wakuu natafuta vitabu vya zamani vya English for primary schools darasa la 4-7 natamani nizisome tena hadithi kama vile;
Standard four - Floods in in Ikwiriri village, the Veterinary Officer...
Uhaba wa madarasa mbalali, wanafunzi wakaa madarasa mawili chumba kimoja, aka mzungu wa nne. Wengine wasomea chini ya mwembe. Enzi za mwalimu zinarudi! This is negative development! Shame, miaka...
Tunadhibiti ubora wa vyeti UDOM-Prof Kikula
Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), umetupili mbali madai ya wahitimu wa kozi mbalimbali kuwa vyeti vyao vimecheleweshwa...
Wanajamvi naomba mniambie elimu inayotolewa kwa njia ya mtandao kiwango chake kikoje na ubora wake pia kwa sababu inaonyesha kwa nchi zilizokwisha endelea idadi ya watu wanaosoma kwa njia ya...
Jamani nimekuwa najiuliza sana juu ya uwezo wa Kikwete kuongoza nchi. Inakuwaje Rais mzima anashindwa kufikiri kama vile hajaenda shule? Nimesoma kwamba ana elimu ya Chuo Kikuu, lakini mbona...
Habari?
Naomba kufahamu kama kuna scholarship ya masters katika technology za computer..
Mahali: Iwe ni US, Europe, Singapore, au Malaysia..
Mimi kwa sasa namalizia mwaka wa pili BSc...
======================================================
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management...
naombeni wanajamii forums mnijuze kama kuna Trainings/Seminars zinazohusu mambo ya Utawala na Fedha zitakazofanyika ndani Tanzania nje ya Jiji la Dar es Salaam, kwa kipindi cha March 2011 to June...
Kwa wale wanaotegemea kufanya mitihani ya ACCA june!ipo web very simple ambayo unaweza kupata material kiurahisi na hivyo kufanya kazi ya kukamua iwe easy!kwa kila notes(kitabu)kinauzwa pound 3...
By Edward Qorro
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
As countries struggle to evacuate their citizens from Libya, some Tanzanians remaining in the besieged nation have appealed to the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.