Waziri Mkuchika amewataka waalimu waliolipwa fedha za serikali kisha wakatoweka vituoni kuzirejesha.
Jambo hili ni gumu kwa serikali kulifuatilia, sawa na mikopo kwa wanavyuo walio kwenye sekta...
Wanafunzi wa UDOM kitivo cha Teknolojia ya mawasiliano na Elimu Angavu(College of Informatics&Virtual Education) tunaendelea na mgomo wa kutoingia darasani ili kushinikiza Utawala kuwarudisha...
Ni ya kidato cha Nne,matokeo yametoka,
Jamani njoo muone,mwenzenu nimeumbuka,
Busara ionekane,tushone palotatuka,
Matokeo yametoka,wakubwa wameumbuka.
Sifuri zimeniganda,ya siri yamefichuka...
Wakuu wana JF, Hi.
Tafadhali naomba msaada wenu wa mtu anayeifahamu primary school nzuri ya boarding kwa ajili ya watoto wa kike, na inazingatia maadili ya kuwalea watoto vema basi naomba...
Wakuu,
Someni Makala hii mpate kuielewa vyema dawa anayoitoa Babu yetu wa kule Samunge Loliondo.
DAWA YA BABU WA LOLIONDO INATIBU LAKINI SIO NGENI – UTAFITI
Na Exaud G. Malya
Tangu...
Kuna uhuni fulani katika website ya necta. Nilipofungua jana saa za jioni nikakutana na message ifuatayo:
THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA...
Mambo vp wadau,
Fungueni link hiii ya scholarship toka ubalozi wa Japan Tanzania.
Please fanya msaada na kuwaeleza Watz wenzetu wasiyokuwa na access ya JF.
Peace...
Doctor Spora kisanga,Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma,tunakushutumu kwa kutosahihisha tests zetu za Research na kisha kutuwekea zero.saa hii tunalalamika unaanza kukusanya upya majina ya...
Habari wana-JF. Mimi nina HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook, sound imepotea na nikiangalia driver manager kuna matatizo haya yafuatayo:
Standard Dual channel PCIIDE Controller is not...
Madaktari na Madaktari Bingwa wanaomaliza mafunzo yao katika chuo cha sayansi ya tiba Muhimbili hawapatiwi vyeti vyao wakati wa Graduation tofauti na vyuo vingine vya Bugando na KCMC. Kwa sasa...
Habari za asubuhi. Nafahamu ya kwamba leo ndo siku ambayo TCU wataanza kufanya mkutano pale U/Plaza ila sijajua utaanza saa ngapi na ni hadi saa ngapi? Mwenye kujua tafadhali anijuze nataka...
katika katiba ya jumhuri ya muungano ya tanzani kila mtu ana haki ya kulinda mali za jamii .viongozi wa serekali ya wanafunzi wamevunja katiba.wametumia pesa vibaya .wafuatao ni mafisadi 1saimoni...
kweli DUNIANI hakuna haki ndugu zangu"viongozi wetu ni kati ya makundi ya kwanza kwenda motoni,i swear my MAPIPO;tunanyanyaswa sana,wengine wanasimamishwa masomo eti kisa kudahi haki...
SIO siri kuwa hivi sasa, taaluma ya ualimu imepoteza hadhi katika jamii. Ile fahari ya kujiita ama kuitwa mwalimu kama ilivyokuwa zamani, sasa imepotea.
Vijana wengi wanaukimbia ualimu kwa...
Wana jf habari za pasaka? leo nina shida ya kujua Details za Master of information studies,naomba mtu aliye/anayesoma hii kozi anipe details za hii kozi, Je inahusu nini hasa, ina related na kozi...
Tamisemi Wamulike ubabaishaji mkubwa unaofanywa na watendaji idara ya elimu upande wa Sekondari wilayani Urambo, Walimu wa sekondari Urambo hawapandishwi madaraja, toka walioajiriwa mwaka 2004...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.