Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari waungwana. Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo. Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology. Amepata " D" katika History, Geography...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari Naomba sana kwa anayejua zaidi anifafanulie nitashukru sana!!!
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Kimsingi inasikitisha sana. Raisi wetu mpendwa anapambana kupunguza mizigo kwa wananchi wake lakin kuna watendaji wanamuangusha. Raisi wetu mpendwa alitangaza hadharani kuondoa 6% ya ongezeko la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam kwa hiyo course
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni hapa nina mdogo wangu kapata performance hii Kwa masomo ya arts , (iv-26)naombeni ushauri akasome nini jamani Civics- C Kiswahili-C Geography-C English-D History-D Maths-F...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwawale wote wenye uhitaji wa kupata cpa tunawakaribisha katika center yetu ya DCRC iliyopo ukonga primary school nyuma ya mahakama ya kisutu. Hii ni fee structure Pia kuna offer ya scholarship...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu kwa matokeo haya English D Kiswahili D Civics F Biology D geography C B.math C History D Four ya 27 Hayo matokeo ni ya 2012 ,Sasa nataka kujua Kama ataweza kusoma CPA na aanzie...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilifaulu mtihani WA form six Resit Physics D na ADvMath D General study F lakini kupata cheti niliambiwa haiwezekani maana masomo ni kidogo. Je, hii ikoje? Nina result slip tu. Je, Kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni kuuliza kitu wakuu, nimebahatika kupata mtu ambae amekubali kunilipia gharama za masomo postgraduate. Kwa vile sikuwa nimejiandaa ,nimekuja gundua deadline kwa october intake imeshapita...
0 Reactions
10 Replies
37K Views
Samahani wana jamii forum kwa mwenye atakuwa na majina ya round ya kwanza na ya pili chuo cha udsm kwa ngazi ya masters degree naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Za mchana wakuu, Kuna dogo kaibuka na haya matokeo M 25 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F' Nishaurini, Anapaswa kusomea nini...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wadau. Mwaka wa kwanza wanaripoti chuo lini?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kijana wangu amepata four ya 29 Na matokeo ndio kama nilivyoyahainisha Anaweza kusomea ishu gani? plz naomba muongozo wenu wakuu CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'D'...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF pole na majukumu yenu ya Kila siku. Nina Jambo naomba kufahamishwa kwa wale wa taalam , unapoanza kusoma cours yeyote inayo husu Uxereva mathalani Advanced driving grade two...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari. Ni course gani unaweza kusoma Bachelor Degree tofauti na hiyo education in Physical Education? Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimemaliza form four na nimepata 2 katika masomo yote nimepata c kasoro math ndio nimepata f upande wa art lakini Nilikua naomba msaada wenu kuhus course GAni nzuri ambayo naweza soma upande wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana Jamiiforums, Naomba kuuliza hivi kozi gani nisomee kwa masuala ya bandari?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021. Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July. Sasa...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
Habarini wana JF Mimi ni undergraduate nimehitimu mwaka huu chuo Bachelor in Environmental Health Sciences (BSc EHS) tumezoeleka kuitwa MAAFISA AFYA. Ndoto yangu kubwa kusoma masters nchi za nje...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nahitaji kujua kompyuta na networks kiujumla ni chuo gani kizuri au nisome kimuundo gani?
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom