Habari zetu wanajamii Forum
Samahani sana ndugu naomba kwa mwenye kufahamu utaratibu wa kumhamisho mtoto wa darasa tatu kwenda darasa la nne kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Na je kuna...
Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni.
Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa.
Mfano:
NECTA...
Siku hiyo kulikua na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliekua akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo...
Chawa[https://upload]
Chawa wa kichwa (Pediculus humanus capitis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi...
Hii inaitwa pambana na hali yako. Kuna shule naitafuta toka juzi siioni. Sasa kwa upangaji huu labda inaonekana hayana umuhimu sana na watu hawana mpango nayo.
Sidhani kama watu wote wanatumia...
Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi...
Pamoja na matokeo ya kidato cha 4 kuongezeka ufaulu, kidato cha 2 na darasa la 4 kwa mujibu wa taarifa/ripoti ya Baraza la Elimu Tanzania limesema kuwa bado ufaulu wa Somo la Hisabati uko chini...
Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.
Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo...
Ndugu wanajamvi naombeni mwenye uelewa wa kozi mbalimbali ngazi ya certificate na Diploma zinazotolewa na Alison Online je cheti chake kinatambulika Duniani kwenye ajira au kujiendeleza?
Mtakua mmeshuhudia kwamba kuna shule karibia asilimia 90 wamepata 1.7, means karibia darasa zima kila mtoto ana A masomo yote.
Nimejiuliza maswali kadhaa nimekosa majibu:
1. Je, zamani tulikua...
Shule nyingi za kiislam hazifanyi vizuri kabisa kwenye matokeo
Shule za kiislam sina shida gani??
Hizo shule zinafundisha nini hasa kama hakuna hata shule moja inayoingia hata top 20 bora...
Kumpeleka Mtoto shule yenye Ada kubwa au Shule ya Garama ni kupoteza tu hela, cz mtoto atasoma atafika hadi Chuo then atamaliza Vizuri chuo, baada ya kumaliza chuo anakuwa mzigo wako tena...
Wakuu
Ningependa kujua kama nchini kwetu kuna vituo maalumu vya kufundisha vijana wadogo masuala mazima ya IT hususani Coding na inshu nzima za Software engineering.
Uzi tayari...
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.