Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Toka mwaka jana nilianza kupata mashaka makubwa kuhusu haya matokeo yaliyosheheni division one za saba kiasi cha kutia shaka. Leo nimebahatika kupata...
Kwanza kabisa nitoe maana ya title hapo juu. Kuifanya Mbeya kuwa workshop ya elimu ni kama kuufanya mkoa wa Mbeya mfano wa kuigwa au sehemu ya kujifunzia kwa mikoa mingine
Kutokana na kiwango cha...
Shule kesho zinafunguliwa; kuna jamaa yangu hapa ana watoto wanne na kila mmoja ada haipungui milioni mbili na nusu kutokana na shule aliyowapeleka. Namuona hapa yupo anang'ata midomo tu.
Jamani...
Ninaomba msaada kwa yeyote anaejua zinapopatikana fomu za kujiunga za shule zifuatazo anitaarifu;
Rosmini High School - Tanga
Anwarite Girls Secondary School - Moshi
St. Marys Mazinde Juu...
Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha.
Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia...
Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako.
Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya...
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM.
Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya...
Habari wakuu
Elimu yangu Ni kidato cha sita comb pcm ndio nasubiri matokeo mwakahuu nawezaje kupata scholarship nchini Australia maana imekua Ni ndoto yangu kusoma uko lakini sina uwezo
Nimepitia matokeo yaliyotangazwa na Necta na kugundua wanafunzi wa shule zinazomilikiwa na taasisi za kiislamu wamefanya vizuri kwenye somo la dini.
Hili ni jambo jema sana!
Naomba msaada wenu wadau Kuna dogo langu amepata alama zifuatazo
chemistry C , Mathematics C, na kiswahili D anaweza kujiunga na Chuo chochote Kwa kozi yoyote naomba msaada alimaliza 2012
🎓 Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools)
🎓 Division IV - 51.46%
🎓 Division 0 - 12.7%
Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema...
Habari wadau.
Video ya wanafunzi wa shule ya serikali Kenya waki have fun kucheza wimbo wa jerusalem
Binafsi nimeitizama sijavutiwa na style za kucheza. Bali mazingira ya shule yenyewe kuanzia...
Habari kwa wale tulisoma shule hii kongwe ya Tosamaganga mkoani Iringa unakumbuka nini katika kipindi ukisoma, moment mbalimbali kama mpira kule msiwasi, sumu, misuli, makongamano mbalimbali pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.