Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Heri ya mwaka mpya. Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari. Sasa hivi nataka...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wakuu. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Hii ni baada ya harakati za hapa pale za kusoma kwa kuungaunga hatimaye nimepata vigezo vya kujiunga na digrii. Na digrii yangu...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Heshima kwenu Wakuu. Mtoto wa binamu yangu hakufanikiwa kupata ufaulu mzuri wa kuendelea na masomo ya kidato cha tano mwaka huu. Lakini kutokana na kipaji cha uchoraji alichonacho tukaona ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari namna gani hapa? Ndugu zangu nahitaji msaada kwa mtu mwenye pdf ya kitabu cha THE SECRET kimeandikwa na MANLY P.HALL,naomba anitumie.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
kama umesoma au unasoma bagamoyo secondary school tukutane hapa kujikumbusha ya shule yetu
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Wale petroleum engineers niwashaurini mjiunge na SPE ambayo ndiyo society itayoleta manufaa zaidi kwako na kwa career yako uwe umeajiriwa au bado! Kuna dili kibao ziko njiani 2023 zinakuja TZ...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nicheki for more details kwa O & A level
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Jamani tusiwe waongo kwa mtu aliepitia shule zetu hizi za serikali hivi hawauoni kweli mzigo ambao huwa wanatupa pale tunapotoka shule ya msingi kusoma kwa kiswahili na sekondari mara paaah...
3 Reactions
8 Replies
953 Views
Wakuu wana SUA, mlio maliza, mnaoendelea, na mlio na ndoto za kuja kusoma SUA, habari zenu. Tunaomba tupeane updates na outdates, ulimaliza lini, ulisomea nini, upo wapi kwa sasa. Tupeane...
5 Reactions
157 Replies
20K Views
.
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Hiki chuo kilianziasha mafunzo kwa ngazi ya Masters kwa mfumo wa long distance learning. Na hoja zao ilikuwa kuwa watakuwa wanaweka recorded video za masomo ya darasani kwenye moodle yao ili wale...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama kichwa kilivyosema naomba mwenye abcd za gharama za certificate/diploma ya masomo yanayohusiana information and technology kwa ngazi tajwa
2 Reactions
9 Replies
1K Views
1.What are the application of sets in planning? 2.What are the application of exponential functions in real life?
1 Reactions
4 Replies
662 Views
Kijiji cha Chato kina kiwango cha kuzaliwa na kiwango cha kifo ambacho kinalingana na jumla ya watu. Idadi ya watu huongezeka kila baada ya miaka 30. Wakati wa muda wa t = 0, idadi ya watu ni...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaam, ama baada ya Salaam, Leo nikiwa katika tafakuri muda huu wa usiku mnene ningependa kufahamu hasa kutoka kwa wataalamu mbalimbali ambao wamekutana na experiences hasa baada ya kumaliza chuo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman naomba kuuliza ni app gani nzuri ambayo unaweza uka save documents mbalimbali na ambayo unaweza uka iserch document fulan ikatokea. Ukiiandika iyo document inatokea
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Habarini za muda huu, naomba kuuuliza eti Hospitali ya Aga khan ipo Wilaya gani ? Tarafa gani ? Kata gani ? Mtaa gani ? Nina jaza form ya interview hapa sasa nimekutana na ilo swali...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Wakuu AWAMU ya PILI ipo kama ya kwanza kwenye allocation au ni 50%? Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Upo uwezekano mkubwa wataalamu wetu wamepika takwimu za wqnafunzi tarajiwa ili wapige hela ya elimu bure.Nakumbuka huko nyuma hii tqbia iligunduliwa na serikali.ikumbukwe kuwa shule zinawekewa...
0 Reactions
2 Replies
472 Views
Aliyesoma bachelor of arts in economics tuwasiliane naomba kufundshwa na material nasoma open. Napatikana singida
1 Reactions
3 Replies
919 Views
Back
Top Bottom