Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za asubuhi, Naomba kuuliza kwa mtu anaetaka kujiunga na course ya IT anatakiwa awe amepata D ngapi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu? Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Naombeni kufahani matokeo ya wanafunzi walio fanya mitihani ya QT yanatoka mwezi wa ngapi??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka kwa selection ya 2022 lakini huwa na penda kufatilia vitu mapema ili nijipange.Ningependa kupata mawazo...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu samahani poleni kwa majukumu Mimi nimehitimu diploma ya GENERAL AGRICULTURE na nahitaji kubadilika course je nicourse gani ambayo naweza chukua degree kutokana na diploma nilionayo ya GPA 3.8
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni @aigi_systems na natambulisha kwako #amelipa_systems. Huu ni mfumo wa kusimamia malipo ya ada na utumaji wa taarifa kwa wazazi. Ninaisiadia shule yako ya awali kufanya mambo yafuatayo: 1...
4 Reactions
3 Replies
932 Views
Habari zenu wakuu...? Namshukuru mungu nimepata selection ardhi morogoro ngazi ya diploma.. kwa wale waliochaguliwa tukutane hapa, hata wale wanaoendelea na masomo tupeane uzoefu wakuu....
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kila mwanafunzi lazma kuna ticha wa twit anaye au aliyemkubali kinoma!..wakati wa analogy kulikuwa na akina mkandawile,kazibure na mama shija! Digitali nayo ina wakali kama muddy physics...
1 Reactions
284 Replies
65K Views
Habari wadau wa elimu naomba niulize hivi hawa wafanyakazi wa serikali katika mizani mabarabarani wanasomea couse gan ?? Yan couse yao inatwaje navigezo vinavytumika kusoma?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hicho chuo cha kawaida sana . Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine. Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine...
19 Reactions
303 Replies
46K Views
Wakuu naomba kujua taratibu za kumuhamisha mwanafunzi wa kidato cha kwanza kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii ni maada maalum kwa Civil Engineers na hapa tutajadili kila kitu kuhusu ku design michoro ya structural mbalimbali ikiwemo majengo, barabara na madaraja pamoja na changamoto /uzoefu ulionao...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Naomba kujua ni chuo kipi kwa hapa Tanzania [emoji1241] kipo vizuri kwenye tasnia ya uandishi wa habari na ada yake ipoje Ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cosmology ni sayansi ya Ulimwengu inayohususisha kuanza kwa ulimwengu kupitia theory ya Bing bang na vitu vyote vinavyojumuisha ndan yake kama Galaxies, Stars na planets (sayari) mbalimbali kwa...
10 Reactions
172 Replies
10K Views
habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika kepeleka gurudumu la maendeleo mbele,timu nzima ya AfroIT inatarajia kuanza kutoa lactures mbalimbali za fani kedekede live.Kwa kuanzia tutaanza na zile za ICT na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie taratibu za kufanya mitihani ya leseni kwa kozi ya famasi pia kama ana mitihani ya nyuma anisaidie[emoji2969]
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habarin wana jamvi natumain mko salama Nilikua naomba kuuliza watu wanaosoma kozi ya ENVIRONMENTAL HEALTH HUA WANAAJIRIWA MAENEO ? NA KATIKA KAZI ZAO WANA SPECIFY NA NN HASWA_?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom