Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana janvi naomba nieleweshe jinsi ya kufuta Uzi au kuedit post kama kunakitu nimekosea au kuondoa uzi wote , naomba kuelekezwa kwa anae Jua
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu kuna mdogo wangu anatakiwa afanye mtihani wa TOEFL naomba kufahamishwa kuwa anaanzeje kufuatilia kwa hapa jijini Dar es Salaam.
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Wakuu je nisome kozi gani ya afya nije kuwa dokta wa upasuaji ata upasuaji mdogo
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Hebu tuutafakari ujumbe hop chini kama mwana JF mwenzetu MRAMIRA alivyotanabaisha. UTANGULIZI Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri. Katika hali ambayo ni ya kawaida, umezuka mjadala juu ya uwezo wako wa kujieleza kwa kutumia lugha ambayo kwa asilimia 90 ndio iliyokutunuku kiwango cha elimu...
11 Reactions
82 Replies
6K Views
Wazee wa "ceteris peribus" habarini. Bila kuwapotezea muda naomba kujua endapo kama bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) huwa wanatoa mikopo kwa wanafunzi wanaosomea bachelor of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mwenyewe mawasiliano ya chuo cha mount meru anisaidie please naombeni hasa tawi la Mwanza au popote tu nipate mawasiliano yao. Shukurani.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika selection kwa baadhi wameandikiwa shule na imeonyeshwa kabisa kuwa ni shule ya kutwa Lakini kwa wale wengine imeandikwa tu “shule teule” je, itakuwa kutwa au ya kulala?
2 Reactions
36 Replies
9K Views
Nina mdogo wangu wa kiume kapangiwa form one shule ya serikali ya kutwa. Yuko Arusha na alisoma shule ya masister kwa jina Teresa nuzzo. Alifanya vizuri na ni very bright. Kama Kuna mtu Yuko...
1 Reactions
2 Replies
920 Views
Mwenye soft copy ya kitabu cha the secret of daily teachings cha Rhonde Byrne anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
422 Views
What is joint transportation costs Vs Common transportation costs?
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Habari waungwana. Katika harakati zangu za kuboresha utendaji kazi wangu, nahitaji kupata maarifa ya GIS & RS, je ni wapi kwa sasa ninaweza kupata mafunzo ya muda mfupi (2 to 3 weeks) kuhusu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau poleni na majukumu. Naomba mnishauri. Ninamjomba wangu (mtoto wa dada yangu) mwakani Inshalah nataka nimpeleke akasome VETA kozi fupi miezi mitatu mambo ya Uchomeleaji vyuma (Welding)...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Mzumbe Secondary Alumni ni umoja unaowaunganisha watu wote waliosoma shule ya secondari Mzumbe tangu ilipoanzishwa. Lengo la thread hii ni kupost matukio mbalimbali yanayohusu shughuli za alumni...
2 Reactions
50 Replies
16K Views
Msaada wakuu, advance and disadvantage of each public relations tools
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Je unafanya Dissertation na unahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kuandika au kusaidiwa kuandika ili uweze kupata Master's degree au Kupublish kazi yako? Karibu! Tupo kwa kazi hiyo...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau naanzisha huu Uzi kwa ajili ya wale walipitia open university watoe ujuzi wao kuhusu elimu ya open,changamoto zake na faida zake ili kuwatia moyo hawa wanaotaka kujiunga mwaka mpya wa masomo...
0 Reactions
35 Replies
13K Views
Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri? 1 . Web designing 2. Vfx and animation 3. Software and programming languages 4. Tally 5. Cyber security 6. Computer...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu niaje? Hatimae dogo anaanza chuo UDSM mwaka huu. Amekomaa tumpangishe survey kwa vile marafiki zake nao wamepata huko pia, je kuna usalama kweli? Au ndo mwanzo wa kumpoteza kabisa kwenye...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina... 1. Diploma in Finance 2. Bachelor of Science in Economics and Finance. 3. Masters of Science in Finance and Investment. Lengo langu lilikua ni kwenda Nje kusoma PhD in Economics ila...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom