Salute wadau...
Naomba msaada je nitumie mbinu gani kumfundisha mtu online. Kuna mwanafunzi mmoja nahitaji kumfundisha tatizo yupo mbali na mimi kwa hiyo njia pekee n kutumia mtandao sasa...
Wakuu habari zenu,
Naomba kujua shule nzuri ya private kwa Advance yenye michepuko ya Sayansi (ukiondoa St. Joseph na Alpha), itafaa sana ikiwa Dar es salaam lakini hata mikoa mingine ni njema...
Habarini wakuu, nina apply scholarship kwa ajili ya undergraduate, scholarships kwa Tanzania zinasimamiwa na TCU mimi bado nipo shule form six nitamaliza mwakani 2018. Naomba kujuzwa, je kama...
My name is Kendrick Patrick, I am a university student in this year 2021 i mean its my first year on my studies at UNIVERSITY OF DODOMA my course is ENVIRONMENTAL DISASTER AND MANAGEMENT...
Believe In Yourself
Keep Your Priorities Straight
Take Responsibility For Yourself
Create Your Own Future
Focus On What You Want
Learn To Visualize The Outcome Of Your Goals
Never Let...
Hello naitwa Kelvin kutokea Dodoma, naombeni ushauri nimecarry-over somo moja ambalo limeairisha nafasi yangu ya kugraduate mwaka huu UDSM (education).
Naomben ushauri anayejua jinsi ya...
Wakuu naomba kuuliza hili swahili.
Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA.
Kama kuna mtu alishawai pata tutoe tongotongo tuweze kuelewa na ulipata aina gani ya scholarship.
Umuofia kwenu,
Mimi ni muajiriwa wa serikali katika kada moja nikiwa na ngazi ya diploma kutokana na mabadiliko mbali mbali ya kimfumo na kimikakati imenilazimu nitafute degree kwa njia ya...
Habarini ndg zangu,
Najua katibu wa baraza atapitia na kusoma uzi huu. Kiukweli katika kazi hizi maalumu za NECTA (usimamiz na usahishaji). Huku ngaz za wilaya huwa panakuwaga sio fair kabisa...
Nauliza tu kwa kasi hii ya mabadiliko ya kidigitali bado ni muafaka kukaa darasani miaka 3 kusomea degree ya kwanza hasa hizi za sanaa na Biashara?
Maoni yako Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUVUJA KWA MITIHANI YA UTABIBU
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ina jukumu la kusimamia na kutathmini sera na miongozo...
Habbari ndugu zangu
Nilikua nataka tu kujua kuhusu hili.. kwanza mm ni mwanafunzi mwaka wa pili Diploma nasoma Mechanical engineering, nilikua naomba kujua ni-specialize wapi(kitengo gani)...
Habarini za kutwa wakuu.
Poleni kwa mihangaiko ya mchana kutwa.
Nina kijana kahitim kidato cha nne mwaka huu 2021, kwa sasa hivi yupo tu nyumbani hana shughuli ya kujishugulisha, hivo ningependa...
Mimi ni kijana umri wangu miaka 21 elimu yangu form four lakini nakabiliwa na changamoto ya kuandika sina amani na mwandiko wangu kila ninapoandika wenzangu wanacheka wanasema naandika kama mtoto...
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru.
Asante kwa msaada wako
Thread for physics applicable facts in our daily life
Coz everything is physics
Example; why do we drink milk or juice using a straw and fact on why the rise of it in the straw?
Help Me The Fact...
Habari wakuu. poleni na majukumu. turejee Kichwa cha uzi.(Hii ni plani B nimeamua kuigeukia baada ya plan A kufeli kwa kushindwa kuripoti chuo mwaka Jana na mpaka sasa ni mwaka nipo tu na naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.