Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo
Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga...
Elimu ya Tanzania haiishi vituko.
Ndio maana hatuendelei. Maana flaw kwenye mifumo yetu ya elimu ni mingi mno.
Ndio maana unashangaa, unakua na CPA ya Tanzania, ukitaka kufanya mitihani ya ACCA...
Shule zinashindana kwenye ufaulu wa watoto kwa kushirikiana na wazazi wa watoto. Wanafanya hivyo kwa mbinu tofauti ikiwemo ya watoto kusoma masaa mengi hata weekend na long vacation, kuwakaririsha...
Wakuu habari za jioni
Nina mdogo wangu amekosa mkopo amefanya appeal ila bado hajapata chochote
Familia hatuna uwezo wa kumsomesha
Nishauri nn ?
Naombeni msaada hapa
Wakuu habarini za saa hizi..
Wakuu kama mada inavojieleza hapo juu, naomba mwenye uelewa na American psychological Association ( A. P . A) style, anielezee kidogo.
Na ikiwezekana anipe na format...
Ndugu wadau wa elimu habarini za mda huu,
Tangu kuanza kwa wiki hii inayoelekea weekend kumetokea na taharuki kubwa kwa vyuo mbalimbali hapa Nchini na inaendelea hadi da huu wanafunzi wengi tuko...
Ukisikia watu wanasema ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni basi ndio hii.
Mmoja wa mwanachuo wanaoanza mwaka huu, atapewa sh. 2750 kwa mwaka.
Kwa lugha nyepesi kabisa huyu mwanachuo...
Daktar anapoingia chumba chenye wagonjwa tofauti tofauti halafu wote akawapa dawa ya malaria hii inamana kuwa watakao pona ni wenye malaria tu wengine atakuwa hajawasaidia.
Hicho ndio kinacho...
Malalamiko yanawakumba asilimia 80 ya wanafunzi wengi wao watoto Wa masikini, kwani ada (2nd installment) hutakiwa kulipwa January ya kila mwaka kabla ya mitihani ya mwisho (semester exams)...
Hivi kuna utaratibu wowote unaotumika wakati wa ulipaji ada chuo kwa wale tuliopata asilimia chache za mkopo? Kwani huwa kuna deadline??!
Nawasilisha!!
Vyuo vyetu vikuu vina idadi ndogo ya maprofesa, na wale wachache waliopo sio kweli wote wanazo sifa za kushika nafasi ya u vice chancellor, maNaibu Makamu wakuu wa chuo taaluma na mipango na...
Habari wakuu,
Nimezunguka sana mitandaoni kutafuta matokeo ya darasa la saba mwaka 2008 lakini sijayaona
Au website na necta ilikuwa bado haijaanzishwa?
Tafadhali wakuu naomba msaada wenu...
Salaam alaikum,
Zamani kabla ya 2010 kurudi nyuma huko tulizoea kuona vitabu vya namna mbalimbali kwa maudhui moja. Namaanisha somo husika kwa darasa fulani linakuwa na matoleo kibao ya vitabu...
Jamani poleni na majukumu natumaini muwazima wa afya naomben ushauri kuhusu swala la kurudia mtihani was kidato cha nne nataka nirudie masomo ya science ambayo awali sikuyafanya je inawezekana...
Afande RPC, so.1 op-officer & RCO
Taarifa ya kufanya udanganyifu katika mtihani wa kidato cha nne tarehe 15/11/2021
Kamil:mkr/ir/1240/2021 (xx) ilani ya kwanza (xx) kosa: taarifa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.