Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu naomba mwenye kujua hii course baada ya kumaliza nategemea kufanyia kazi maeneo gani,lakini pia kuna hii Bachelor degree in human resource management maeneo gani nitatakiwa kufanya kazi Asanteni
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu. Hebu naomba mtupe uzoefu wenu kwnye hizo kozi kuhusu: 1. Vyuo vinavyotoa hizo kozi 2. Gharama kwa chuo ulichosoma 3. Course duration. 4. Upatikanaji wa ajira na fursa za kujiajiri...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
MAOMBI YENYE KUBAHATISHA kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Part time c programming tutor,contact:0655-124378
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Napenda kujifunza mambo hayo kama tittle inavyojieleza. nina msingi mzuri wa computer networks hasa routing and switching. Lengo langu ni kwenda zaidi ya hapo. Msaada wadau sehemu ya kuanzia.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Eeeh mwenyezi mungu uketie mahali pa juu Sanaa tunahitaji maombi yako kwa vijana hawa wanaokwenda kufanya mtihani wa kidato Cha nne wasaidie mungu mwenyezi waweze kufanya mtihani wao salama
1 Reactions
2 Replies
607 Views
Habari wana jf, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba mwenye mawasiliano ya shule tajwa hapo juu ya St Teresa of avila girls Secondary iliyopo MWANGA, KILIMANJARO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
The selection of a suitable topic is the first major step in writing a thesis or dissertation. For some students this is an easy task. They have known what they wanted to study from the time they...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Wadau hiv kunatofaut gan kati ya BSc in geology ana BSc with geology?je tofaut kat ajira pia iko vip?
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Jamani naomba ushauri nataka kusoma ngazi ya certificate course ipi nzuri Kati ya IT na ICT na nivyuo gani vizuri kwa course hizo.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza na kwa kuzingatia JF ni uwanja mpana unaojumlisha wazazi, wamiliki wa shule, maofisa wa elimu wenye wadhifa tofauti na pia kwa vile waalimu wamo humu basi...
5 Reactions
97 Replies
9K Views
Naomba kujua tarehe za graduation vyuo vifuatavyo; 1. MZUMBE MAIN CAMPUS 2. MWALIMU NYERERE 3.CHUO CHA ARDHI 4.KAIRUKI 5. MUHIMBILI 6. IFM 7.CBE DSM NA DODOM NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jamii,kuna utaratibu wanaufanya hawa jamaa wenye hii shule wanapokea wanafunzi vizuri tena kwa interview na wanachagua watoto ambao wapo vizuri kichwani,tatizo linakuja form one na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekua na uandishi wa ajabuajabu wa meseji kwenye simu bila kujali unayemuandikia ni nani na ana umri gani. Mfano wa maneno ni xaxa=sasa, p=poa, vip=vipi, na ufipisho usioleta maana halisi ya...
1 Reactions
0 Replies
837 Views
Hii news ni very interesting na Datas zinaonyesha tukiwa serious na CNG(compressed natural gas) tutakuwa tumejisaidia sana kiuchumi, bei ya CNG ni 45% less compared to imported oil, CNG ni ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nadhani wote ni mashahidi wa shule hizi za serikali hasa zile kongwe kabisa kwani miundombinu sio rafiki tena.aidha kwa wakati zilizijengwa au kukosekana kwa ukarabati wa mara kwa mara. Shule...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa Nini tofauti ya kiutendaji Kati ya mtu aliye soma course ya MASTERS IN QUALITY MANAGEMENT na MASTERS OF EDUCATION IN QUALITY MANAGEMENT na vyuo gani TANZANIA unaweza soma course...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kumpeleka Mdogo wangu hapo kwa Shekh Kishiki Al-hikima Nazumgumzia upande wa secondary .kidato cha kwanza.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom