Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa hivi wadau JF ni saidieni hivi kwa continous student mkopo huwa unabadilika maana nimejaribu kuingia kwenye account yangu nakuta mambo tofauti na awali pesa walizoniwekea miaka...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Naomba kujua endapo ukihama chuo je process zakuhamisha mkopo zitachukua Muda gani? Naomba nipewe Experience kutoka kwa mtu mwenye uzoefu na ili jambo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
jamn naamini mko powa na wenye kujisikia vibaya kiafya MUNGU awape wepes,, jaman mmm nimechaguliwa mkwawa univst,,kusoma education ila sikupenda kusoma hiyo kitu nilihitaj human resorc,, na hapa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu habari. Nina uhitaji wa UDOM FEE STRUCTURE ya 2021/2022. Kwa mwenye nayo, Please naomba anisaidie. It’s URGENT!! Thanks.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vzr kwa hapa Dar kwa miaka hii ya sasa. Natanguliza shukrani na karibuni kwa mawazo mbali mbali
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Natumaini wote ni wazima wa afya, dhumuni kubwa la uzi huu ni kwamba. Nina mdogo wangu amechaguliwa Mzumbe Main Campus kozi ya Public Admnistration in local Government Management (BPA LGM). Sasa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani mtu yeyote mwenye vitabu, internet sources au notes about importance of communication skills for students who studying bachelor degree of laws anaweza kunisaidia. Shukrani
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wadau , Kuna ndg yangu mmoja anakituo Cha kulelea watoto lakini anahitaji kukiweka kiwe Cha mayatima na watoto wasio jiweza kusomeshwa na kupata mahitaji yao ya kimwili. Hivyo Kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini, Hivi board ya watu waliosomea Computer Science ni ipi? Au ndio hii ya Engineering?
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau habari zenu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Ningependa tujadili haya mambo kuhusu ufaulu wa wanafunzi wa shule za msingi kwemda form one kwamba mimi naona kuna mambo makubwa sana ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimemtumia maombi ya chuo mdogo wangu na hajapewa mkopo kabisa. Sasa najaribu kuapeal napata meseji hii; Sorry!! S.......... is not Eligible for Appeal Because of the following reason(s);-...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..... Somo tajwa hapo juu lahusika,mkoa wa kagera ktk matokeo ya darasa la Saba 2021 umeporomoka kiasi Cha kukosekana miongoni mwa...
7 Reactions
87 Replies
11K Views
Mkuu wa idara ya Regional Chuo cha Mipango IRDP acha ukiritimba na roho mbaya... Kila mwaka wanafunzi wanashindwa kugraduate kutokana na kuzuia matokeo yao! Badilika usijione mungu mtu hii ni...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Dirisha limefunguliwa rasmi lakukata rufaa kwa wale wote ambao hawajaridhika na kiwango walichopewa na waliokosa kabisa Kwamimi binafsi nilipata asilimia tisini lakini sikupewa books and...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wandugu, Kijana amechagliwa kwenda Lugalo kwenye clinical medicine. Kuna taarifa kuwa chuo kimefunguliwa tarehe 3/10/2021. Lakini joining instructions zinasema kufungua ni tarehe 11/11/2021...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kurudia mtihani kidato cha nne kina mwisho wake mfano mm mimemaliza 2010.naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Habarini wana jamvii, Naomba kuuliza HV m2 alietoka form 6 kombi za sayansi akahitaji kwenda kupiga kozi za afya Kama pharmacy, Clinical Officer, nae atasoma miaka 3 au 2? Maana nimesikia sikia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom