Mwaka 2018 Mwanafunzi Aliyeongoza Kitaifa Kwenye Matokeo Ya Darasa La 7 Alitokea Chato, Pia Mwanafunzi Aliyeongoza Darasa La 4 Kitaifa Alitokea Chato, Mwaka Huu Mvulana Wa Kwanza Kitaifa Darasa La...
Utaratibu wa kupata viongozi katika mfumo wa elimu umekuwa ni moja ya tatizo kubwa katika mikakati inayofanywa na serikali ya kuboresha elimu Tanzania.
Viongozi wengi wa elimu kuanzia walimu...
Naomba ushauri wenu hizi kampuni zinazopeleka wanafunzi nje global na univers abroad zipo chini ya wizara ipi, mfano nimelipa pesa kusomesha mtoto halafu nikasumbuliwa, njoo kesho njoo kesho sijui...
Katika shule aliyofanya mtihani mtoto wangu.
Kati ya wanafunzi 180 waliofanya mtihani ni wanafunzi 67 tu ambao matokeo yao yametoka,waliobaki unakutana na alama ya nyota kisha w,nini tafsiri yake?
Hllw guyz,naomba msaada wa hili swali.
1. ACustomer needs to get an Electric Circuit which will operate his DC Electric bell which Requires a Voltage input of 12Vdc and Current of 3.5A in his...
Habari za Leo wakuu,
Kumbe Advanced Physics na Advanced Chemistry tunayosoma form five na six ndio hiyo hiyo inayosomwa U.S, China, Ufaransa na mataifa mengine.
Tofauti ni moja tu sisi...
Heshima kwenu wadau wa JF.
Mgawanyo wa fedha kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2021/2022 ni kilio kitupu kwa walio wengi.
Imagine mtu analipiwa 256,000|= Out ya 1263,000|= tafsiri yake hapo...
Hiv nduguni....hio GPA ambayo ni overall ndo wanacalculate kiaj yan kwa upande wa diploma
ni kwamba wanashika zote semista sita na kugawa kwa jumla ya GPA za semista zote au inakaaje msaada wadau.
Najaribu kutafakari ni vipi tunaweza kujikwamua ili tuwe na elimu bora, lakini nakosa majibu.
Huenda shida si mtaala au content ya kinachofundishwa. Inawezekana tuna mtaala mzuri lakini...
Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake.
Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na...
Leo tarehe 28/10/2021 wanafunzi wetu wa Darasa la nne wanafanya mitihani yao ya kuwapima uelewa wao kabla hawajavuka kwenda darasa la tano. Tunawatakia mtihani mwema. Tudhibiti udanganyifu...
Ndugu wanajamvi napenda kuuliza katika kozi ya IT hasa ngazi ya diploma ugumu upo maeneo gani, Mana dogo anatamani kujua kwani kashachaguliwa chuo fulani jijini Mbeya, So mliosoma hiyo kozi naomba...
Habari wanajamii,
Nawasalimu kwa jina la jamhuri.
Poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Niko mbele yenu kuwaomba ushauri ndugu zangu juu ya hili jamba kuhusu mkopo wa elimu ya juu.
Mimi ni...
Gwala kwa wana JF, JF long live (wote long liiive). Sina budi kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai siku ya leo, pia kongole za kutosha ziwaendee founders wa JF. JF imetumika kama chombo cha kutoa...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limezuia matokeo ya mitihani ya utabibu ngazi ya stashahada ikisubiri uchunguzi unaofanywa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.