Hellw guys..
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea na harakati za kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja kwenye point tarehe 18 NACTE walifungua dirisha kwa wanafunzi wanaobadili funi za...
Nimemaliza mwaka jana elimu ya kidato cha sita mchepuo wa sayansi, PCB na matokeo yangu ni CHEM-C, BIOS-C na PHY-E
Niliomba msaada wa kutaka kurudia kufanya mtihani wa somo la PHY ili nikasome MD...
Habari Wana JamiiForums!
Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu.
Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu...
Vijana,someni fani zinazowaachia ujuzi, haya mambo ya kuchagua fani ambazo ni ngumu kujiajiri ni sawa na kupoteza fedha zako.
Chukulia mfano, labda umesoma mambo ya historia au fani zenye...
Samahanini.kuna mdogo wang kachaguliaw UDOM course ya IT,anataka akajaribu kufanya transfer ya course kutoka course ya IT kwenda MD kweny matokeo yake ya form six ana D flat dvs 2 point 12,,,,je...
Habari wadau,mimi ni binti wa mwaka wa pili wa degree ya udaktari.Kipindi chote cha masomo wakati nipo mwaka wa kwanza nilikuwa na hili swali Ila nimekosa jibu lake nikaona vyema nije kuuliza kwa...
Ukiangalia ile pdf ya loan board watu wanawastan wa ada shilingi 350000 rough estimation, vyuo vingi ada ni mill +.
Wanachuo wengi ada wanajilipia na huwa wanalipia kupitia like boom la kwanza...
Napenda kuwasalimuni wote humu!! Mm mtanzania na familia yangu tumejipangusa mpaka tumefanikiwa kupata nchi India kupitia Maagenti Kwa kuna changamoto zimejitokeza toka mwaka Jana
1.Ni zaidi ya...
Habari wakuu!
Niwapongeze wote waliochaguliwa vyuo mbalimbali Tanzania, You guys you have made it, Bingo!
Pia, niwape pole kwa waliokosa chuo, maisha ni safari na kila kitu kinasababu zake...
Habari!
Baada ya Bodi ya Mikopo( HESLB)
kutangangaza majina ya wanafunzi ambao ni
wanufaika wa mikopo kwa awamu ya
kwanza(Batch one Beneficiaries) Wanafunzi
wa Afya hasa hawa wa M.D...
Nimemleta mtoto wa ndugu yangu hapa kuripoti tawi lao la Mtwara, dogo alinyoosha dv 2 safi ila wamempanga kuanza cheti hapa.
Ila kwa kweli sijui kama hichi chuo kipo vizuri kwa kweli au ndio...
Nilichaguliwa vyuo viwili UDOM na Mzumbe University lakini nilikofemu kwenda Mzumbe nikijua nitapata mkopo wa kutosha kutoka bodi lakini nipewa mikopo mdogo sana .
Wanajukwaa kuna uwezekano wa...
Kwa wale waliopita vyuo vya IFM na IAA,
Naomba ushauri wenu wa wapi pazuri kusoma hiyo Master ya Accounting & Finance.Ninachohitaji zaidi ni kuhusu Resources na Course contents.
Wapi naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.