Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki...
4 Reactions
212 Replies
11K Views
Wengi wetu katika Elimu yetu ya msingi katika masomo ya lugha tulisoma hadithi mbalimbali zilizotusaidia kukuza uwezo wetu wa kusoma na kuandika kwa wakati ule, hadithi kama Juma na Uledi, punda...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Habari zenu wapendwa; kwa wapenzi wa kusoma vitabu je ni kitabu gani unatamani kukisoma lakini hakijawahi kuandikwa? Au ni topic gani ungependa kuisoma kwenye kitabu? Je ni kujifunza kazi za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za usiku wana jf Hivi matokeo ya nacte kwa vyuo vya serikali mbona hayatolewa hasa kwa NTA level 4 ...mpaka Sasa Nimepata kusikia ni baadhi ya vyuo vya private ndo wamepata Au kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wakuu, nahitaji kuangalia allocation zetu za 2020/2021 tulizowekewa mwaka jana, zikaonyesha allocation za Miaka mitatu AMBAYO ni 2021, 2022, na 2023 Naingia kwenye system zao sizioni...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
True Ink Associates would like to Announce that CISA (Certified Information Systems Auditor) Physical Review Class will start on Monday 01/02/2021, Dar Es Salaam City Center, PSPF TOWERS 17th...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa JF Salam natumaini mu wazima! mimi ni muhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo...
50 Reactions
427 Replies
75K Views
Kwa nilichokuja kugundua ni kwamba kodi nyingi sasa zinatokea kwenye miamala ya simu tunayotuma na kupokea. Kwa njia hiyo inamaanisha kwamba zikijikata tu zinaingia, moja kwa moja kwenye akaunti...
2 Reactions
5 Replies
945 Views
Mi nimwanafunzi wa mwaka wa pili wa udaktari Nlikuwa naomba kama kunamtu yoyote anajua organisation au watu wanao fanya sponsorship au scholarship za masomo hapa Tanzania anisaidie... Manaake...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Amechaguliwa kozi zinazofanana katika vyuo hivi. Institute of Social Work Kampala University Je aende wapi??
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Inasikitisha Sana kuona wimbi kubwa la vijana wanasaidia fundi, wengine mama ntilie wengine madereva boda boda, bajaji hivi ndo zao ndo kusema zimeshafifia? Mimi mmoja wapo Lakin nipo private...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wapendwa nilikuwa nauliza wapi wanaweza kunisaidia ku-apply scholarship au nani anasaidia ku apply scholarship.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Level ya degree sijasoma kozi ya hesabu (lmv). Lakini nina A ya advanced mathematics naweza kusoma Masters ya Math au Statistics coz ninamsingi mzuri A level
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wakuu, Kuna thread nimeona inaeleza usawa kati ya waliosoma gvt na pvt katika kupata mkopo Hapana kabisa, najua watu wanaolipia watoto wao kwa mwaka mmoja 2m-m5 kuanzia nursery had advance ndo...
3 Reactions
6 Replies
981 Views
Habari kaka na dada, Naomba kujuzwa kuhusu hii course ya Accountancy with IT ambayo inatolewa IAA na IFM vp kuhusu soko lake la ajira na je ipi bora Kati ya BA. In Accountancy na hyo BAIT...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Kwa wale walioomba mkopo wa elimu ya juu (HESLB) - 2021/22 tembelea account yako chap
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Hv ile QR code iliyochorwa kwenye certificate of secondary education CSEE, ukiiscan unaletewa taarifa zipi?? Kwan unaweza kuletewa softcopy ya cheti chako??
1 Reactions
1 Replies
752 Views
Wakuu natafuta nafasi ya kubebwa hapo CBE Dar es Salaam. Mwenye connection tuwasiliane. Ahsanteni.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za ndugu zangu Nimatumaini ya ni wazima,mimi ni muhitimu wa form iv 2014 (nifaulu kwa daraja la tatu) kwa alama ya phy C,chemistry E,math C,bio C,geo C,English B a mengine D yote...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom