Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nauliza kwa wale wanaoendelea mfano mwanafunzi mwaka jana mwanafunzi wa MD kapata tuition fee ya m3.1 je mwaka wa pili mpangilio wake huwa unakuwaje? Wanaweza kumpunguzia kabisa au ndo hatapata tena?
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Msaada, Baada ya ku-apply na kupata nafasi chuo kimoja kwenye dirisha la kwanza lamaombi.., Je Unaweza ku-apply tena chuo kingine kwenye dirisha lingine lamaombi ….??
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanaotafuta vyumba chuo kikuu cha SUA. Mimi kama mwenyeji wa mazingira hayo lakini kama member wa suaso kupitia uongozi wa chuo kikuu cha SUA, basi ningependa kuwataarifu wanachuo wote...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Jamani leo nimekuja hapa tena kwa wenye ufahamu nimepata scholarship ambayo nalipiwa 50% tu Masters degree in supply chain management Westford University Mimi napaswa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu Naomba Elimu juu ya Mambo yafuatayo:- 1. Uwekezaji kwa njia ya dijitali (digital investment) hususani katika masuala ya fedha mtandaoni (sijui kama nimepatia tafsiri) Bitcoin investment &...
1 Reactions
1 Replies
514 Views
Wakuu Naomba Elimu juu ya Mambo yafuatayo:- 1. Uwekezaji kwa njia ya dijitali (digital investment) hususani katika masuala ya fedha mtandaoni (sijui kama nimepatia tafsiri) Bitcoin investment &...
1 Reactions
1 Replies
597 Views
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu...
0 Reactions
346 Replies
46K Views
Anaefaham jinsi ya kupata AVN kutoka NACTE utaratibu ukoje, pleaseeeeee matokeo yametoka leo nataka nipate AVN ili nifanye application leo leo, deadline leo wapendwa, pleaseeee muongozo wa haraka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??
0 Reactions
6 Replies
935 Views
Habarini za kazi wapendwa wote Naomba kufahamishwa kuhusiana na utaratibu au elimu ya chuo tajwa hapo juu Ningependa kusoma Moja ya kozi , as for now I'm interested in parsuing bachelor of ICT...
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Fully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada Opportunity DeskFully Funded Scholarships in Canada 2022 | Study Free in Canada ... Fully Funded Scholarships in Canada 2022 |...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu habari! Hivi hii course ya Aircraft Maintenance Engineering inayotolewa na NIT future yake kwa Tanzania ikoje? Je ni dili a dirisha ? Naomba ushauri. Thanks
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari jamii, Shida yangu mimi nikujua syllabus ya hio kozi mpaka nakuwa fundi mzuri vitu gani natakiwa kusoma Kwa ngazi ya cheti lakini. N:b kama kuna mwenye notsi nkizipata ntafurahi sana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeapply hapo chuoni TIA mwezi wa 3 ngazi ya Certificate nilikua naulizia majibu kwa sisi tulioapply tayari yashatoka?? Na vipi Kama umesahau account yako uliyofungulia utaona wapi majibu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kutokana na hali ngumu nimepata kazi katika moja ya vyuo vya ufundi kutokana na elimu yangu ya degree na uzoefu kwenye ujenzi boss kanipa somo la plumbing sasa. Anataka niandae syllabus. Mwenye...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
mwaka sasa tangu wanafunzi wamalize vyuo vikuu. wengi wa wanafunzi wa UDOM wapo nje na hawana ajira. Kila interview wanayofanya wanajikuta wanatupwa nje
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Habari, jaman naomba ushaur, nimechaguliwa programes 2 ambazo ni BIOTECHNOLOGY AND LABORATORY SCIENCE na COMMERCE IN PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT. Ni IPI bora kwa upande wa ajira,,?
2 Reactions
4 Replies
861 Views
Back
Top Bottom