Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wakuu!kuna mdogo wangu alisoma Civil engineering Sasa mwaka huu ameamua kwenda kusoma Masters ya Ethics of Governance and Public Services, kwakweli kwake research ni kitu kipya kabisa hivyo...
2 Reactions
8 Replies
951 Views
In Tanzania students who complete their primary school (standard seven) and perform well in their PSLC NECTA exams are normally selected by TAMISEMI to join various secondary schools located in...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Mimi ni mwanafunzi wa kadato cha pili nauliza unapopewa swali la kuandika insha Kama ya watoto wa mitaani kwa maneno yaaiyo zidi 120, mambo yapi ya kuzingatia katika uandishi🙏
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani samahani nini mimi nilikuwa nasoma college moja hivi ya private nilikuwa na soma nursing & midwife sasa nilipofika mwaka wa pili semester ya pili niliishiwa ada nikaamua kuahirisha masomo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu humu ndani. Naomba kufaham Kati ya Bsc in geophysics au eng geology ni ipi iko vizuri kweny upande wa mining activity??? Naomb kuwasilisha
0 Reactions
3 Replies
710 Views
Habari za wakati huu, Kwanza kabisa nikiwa Kama mTanzania naungana na waTanzania popote walipo ndani na nje ya kuomboleza kifo cha Hayati J. P Magufuli! Niende Moja kwa Moja kwenye Mada Kama...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Tafiti ni requisite kwa wanafunzi wa Masters na Phd ambapo kwa sasa wanatakiwa kuwa na publication kwa wanaofanya masters by thesis, huku Phd Ikiwa ni lazima kuwa na publications mbili kwenye...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman naomba kuuliza hivi mfano kama mwaka huu tcu weshusha vigezo vya kwenda MD kwa diploma yaani 3.0 badala ya 3.5 je ni kwa mwaka huu au inachulua muda gan mpka wabadili tena
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Waswahili(wahenga) walisema ''Mungu si Athumani" pia ''Mungu hamtupi mja wake" Nilipata supp kwa kipindi chote cha miaka 4 nikiwa napambana na elimu yangu ya juu. Haikuwa jambo dogo hatimaye...
39 Reactions
146 Replies
22K Views
Vipi wakuu...nauliza hapa tanzania ni vyuo gani vinafundisha online...naomba kuvijua kwa maJina if possible
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale mliosoma Sengerema secondary school tukutane hapa tukumbushane maisha ya chaka
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarini wana jamvi nilikua naomba msaada wa mAwazo nimemaliza form4 mwaka 2018 nikiwa na ufaulu wa DIVISION2 POINT 20 Phys-D,Chem-C,Bios-C MATHS-F nahitaji kuomba nafasi ngazi ya diploma chuo cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watalam wa Kemia nawakaribisha ili muweze kunielimisha ingawa najua sio mimi peke yangu ni wengi ambao hawajui! Karibuni mtupe elimu, maana tusje tukawa tunakula vyuma kama vile nondo na bati...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta broker mzuri Kwa hapa Tanzania. Nimejifunza forex muda mrefu sasa nataka kufungua real account...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za saizi wana jamii forum nimekuja mbele yenu kuna issue nataka kuulizia maana kuna mtu anaulizia Ni vigezo gani vya kuwa tutorial assistant kwa vyuo vikuu na vyuo vya kati amemaliza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapa
1 Reactions
206 Replies
24K Views
Wakuu nakusalimuni, kwa wale wataalamu wa fizikia naomba kuuliza, je value ya internal resistance of dry cell ni constant? Kama ndio ni ngapi? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wameondokewa na dk. Itandala, aliyekuwa anafundisha history amefariki jana tar. 8 oct 2012. Source mkuu wa chuo
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Natoa gwala kwa wana 'JF', na nimatumaini yangu mko na afya njema kabisa, kama si ivyo na unapitia hali ngumu namuomba Mungu mwingi wa rehema akusaidie. Niende moja kwa moja kwenye 'topic' ya uzi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Sintofaham imetoke katika chuo Cha Moshi catholic university ambapo wanafunzi wanaondelea na masomo yaan second year na third year wamebandikiwa allocation mpya za mkopo Ambazo zinaonesha mikopo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom