Huwa kuna utaratibu gani mtu akitaka Ku resit mitihani ya form 6 aliyemaliza mwaka huu mwezi wa 5 na hakufanikiwa kwenda bachelor ataenda Ku resit shule au kwenye vituo na anahitaji Ku resit...
Msaada Kwa anayejua shule ya sekondari ya bweni Kwa mkoa wa Dar-es-laam au mkoa wa Pwani yenye ada isiyozidi milioni2 ufaulu mzuri na yenye mchanganyiko wa jinsia anisaidie
Being a parent is one of the greatest reward, that the Most High Creator presented freely, in this world. Since it is a gift then we should do our level best, to inspire and uplift our children...
Hapa Jf niliuliza kuhusu kuhama chuo na kuhamisha mkopo wadau walinijibu uongo sana
kumbe kuhama chuo unahama hata bila Admission letter then na mkopo wako unahamishwa kirahisi tu na huu ndo ukweli.
Habari zenu wakuu.
Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo...
Habari za Jioni hii ndugu WanaJf wenzangu.
Natumaini mko poua kabisa na mko katika mapumziko baada ya kazi za siku nzima.
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. Niko katika Njia panda sijui...
Kuna MTU nataka nimsomeshe ila uwezo wangu wa kumlipia ada usizidi 1,500,000 kwa yeyote anaejua shule yenye gharama ninayoiweza kuimudu anisaidie nitafurahi zaidi ikiwa ndani ya Dar
Jamii inawaheshimu sana wasomi hasa maprofesa, jamii inadhani kuwa professor sio mtu wa mchezomchezo, anafahamu na kujua na kuweza kila kitu na kila jambo. Inapotokea tukio la professor kubezwa...
Habarini wadau ! Naomba kuuliza kuhusu hii kozi mpango wa serikali katika ajira zake maana ni kama imesahaulika sana au haitambuliki? Tunajua serikali iliajiri mara moja tu toka 2018 shida inakuwa...
Kwa wale waliosoma shule ya Kifungilo it doesn't matter umesoma mwaka gani.
Apparently Me and My other 2 classmates (The original M&K "as you know what i mean lol!...blushing!! -:)..)...
Wakuu habari,
Kuna binamu yangu alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2021, na akafaulu kwa wastani wa B, naona wamepangiwa shule, ila yeye sijaona kapangiwa shule gani! Au huwa...
Hii ni koz imeanzishwa na chuo kimoja Cha private mwaka huu,vijana wa kitanzania wamepata bahat ya kujifunza mechanics iliyochanganywa na electronics ..
Hii nimeipenda bze inaendana na currently...
Habari wanajukwaa, nahitaji msaada wa kujua kama vitabu vya mtaala mpya 2019 vilivyochapishwa na taasisi ya elimu hasa vya shule ya msingi, je vilishatoka? Na kama vilishatoka naweza kuvipata wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.