Wakuu habarini za weekend,
Samahani naombeni msaada simu yangu ilizingua na kwa bahat mbaya nimepoteza PDF ya kitabu hicho, hivyo naombeni mwenye link yake anisaidie niweze kukishusha tena...
Heshima kwenu wakuu
Naombeni msaada wa shule nzur ya private kwa dogo wa kiume zilizopo mkoa tajwa hapo juu...nina uwezo wa kuzichanga 3m kwa mwaka.Asanteni
Salaam wanaJF.
Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F.
Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form...
Habari wakuu,
Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya sasa...
Habari ya usiku wadau wa elimu
Kwakweli nimepatwa na mshtuko mkubwa juu ya shule hii ya sekondari ya serikali ya WAILES iliyopo temeke mwisho kufelisha watoto 187 kushindwa kuendelea na kidato...
Naomba mwenye uelewa kama kuna uwezekano wa mtu aliyesoma masoma ya bodi za wataalamu kama PSPTB na NBAA nk, wanaweza kujiunga na vyuo hapa Tz bila kua na matokeo ya form six au diploma na pia...
Habari wana jf
Kwa wale walio walimu tafadhali naomba mwenye sample ya written lesson plan au hata scheme of work anipe nahitaji baadhi ya hints atleast nipate starting point.
Zibaki Div 1, 2 na 3.
Just imagined matokeo ya mitihani ina range from point 7 hadi 35 Kwa O level. Uwingi wote wa nini?
A level point 3 hadi 20s huko.
What the meaning of all these many...
Kwa wale mliosoma Tosamaganga Iringa naomba mjitokeze popote pale mlipo ili tuweze kuikumbuka shule yetu na kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kushirikiana na uongozi wa shule yetu ili kuiboresha...
Shule 10 Bora Kitaifa kwenye matokeo ya Kidato cha nne yaliyotangazwa leo January 15, 2022 na NECTA
1. Kemebos - Mkoa wa Kagera
2. St. Francis - Mbeya
3. Waja Boys - Geita
4. Bright Future Girls...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Wametangaza Matokeo.
kitado cha Nne 2021
https://matokeo.necta.go.tz/results2021/csee/csee.htm
Kidato Cha Pili (FTNA)...
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya...
Salaam!
Baraza la Mitihani ya Kitaifa linajiandaa kutangaza matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne ulifanyika mwishoni mwa mwaka 2021 (CSEE).
Pamoja na Mtihani wa Upimaji kidato cha Pili...
NECTA wameandika matokeo ya Kidato cha nne na Upimaji wa kidato cha cha Pili na Darasa la Nne 2021, yatatangazwa hivi punde kaa tayari ndio mida hii.
All the best Comrades, see you at the top...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.