Habari wana JF,
Nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga VETA koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe...
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye...
Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini,
Huyu mwalimu...
Wale wataalam wa hesabu hebu nisaidieni namna ya kusolve hii haraka, nimejaribu njia zote nimeshindwa (Log... etc), sasa sijui ni uzee unanisumbua!!
2x=4X
The answer is 4, sasa tatizo ni namna...
I see shida ni nini Ofisini tunapata shida sana na hawa UDOM alumni wengi wao hakuna wanalolijua
Shida ni nini haswaaa? au Ni Kubebwa na Jina tu.
UDOM Wengi waliograduate hawana skills zozote...
Wakuu Sina la kusema Sana nitaatach maswal ya MALISA ambayo amewauliza NECTA
Kama haitofunguka
Anauliza shule ya SEKONDARI ANWARITE ina watoto 76 wote wamepata daraja la 1 na imekuwa ya 11...
hili limejili leo kwenye chuo kimoja cha afya nakupewa muongozo mpya wa udahili ktk kozi ya pharmacy upande wa certificate na diploma kutoka kwenye D mbili ya chem&Bios na sasa imekua D tano...
Hizi siasa za Tanzania hazina usawa[emoji847][emoji847][emoji847]tukiwi tumelala kumbe kuna Makamanda wezetu wanapata michongo kama hii;
Salaam kamanda Yerricko Nyerere,
1. Nakutaarifu kuwa wewe...
Elimu ya kizamani, iliwajaza makupe,
Wakatunyonya jamani, tukabakia weupe,
Sasa tusiithamini, mashimoni tuitupe
ELIMU YETU YA SASA, YAWAFAA WATU WOTE.
Chako ni chako jamani, usikionee haya,
Sina...
- Habari za wakati huu mabibi na mabwana wa humu jamii forum. Tuachane na salamu maana lengo la kuandika uzi si kusalimu watu.
- Nimesikia habari za kubadili mtaala wa elimu na nimesikia maoni...
Katika kumi bora,wanafunzi saba wote wanatoka st Francis ya Mbeya.Nini Siri ya mafanikio ya shule hii ni walimu au ni wanafunzi wanaoenda pale wako bright sana?
Watahiniwa 10 bora Kidato cha 4
1...
Mwanga Mpya Co. Ltd inakukaribisha katika mafunzo ya uandishi wa research/dissertation ambayo yatafanyika kwa siku mbili (Januari 29 na 30) mwaka huu 2022 ndani ya Jiji la Dar Salaam.
Gharama ya...
Habari za wakati huu wakuu,
Kuna jambo naomba kusaidiwa, kuna mdogo wangu naishi nae hapa nyumbani nataka kumtoa shule ya kata ya kutwa na kumpeleka shule yoyote ya serikali ya bweni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.