JAMANI naomba kujua nitawezaje kubadili combination ya HGL ambayo nimepangiwa,ingawaje na combination ya CBG,imebalanca lakini mathematics nimepata alama "f"
Naombeni mnisaidie wakuu
Naombeni ushauri baada ya muda mrefu niliamua kuresit mtihani wa form four mwaka huu hivyo nitafanya mtihani mwezi wa 11.
Nilijiunga na Open school lakini kwa sasa hawafundishi wanatoa maswali...
Wanajukwaa naomba kuuliza kuhusu ngazi ya kitaaluma ijulikanayo kama shahada ya juu ya uzamivu (Doctor of Philosophy),,
Swali langu ; napenda kufahamu ni kwa nini inaitwa Doctor of Philosophy...
UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI
TAKADINI
FANI
MWANDISHI: BEN J. HANSON
WACHAPISHAJI: MATHEWS BOOKSTORE AND STATIONARIES
MWAKA: 2004
JINA LA KITABU
Jina la kitabu TAKADINI lina maana ya...
Habari wakubwa,mm ni kijana niliehitimu kidato cha sita kuna kozi ya bachelor of science in economics policy and planning(EPP) ninaomba ushauri wa mbinu,mawazo kuhusu kozi hii.na kazi gani...
Wadau naombeni ushauri wenu. Nina mdogo wangu ana degeree ya philosophy, ambayo alipata akiwa seminary kuu katika shirika moja la kitawa.Ameachaa baada ya mwaka wa kiroho.
Naombeni mwongozo wenu...
Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya.
Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit.
Mpaka dakika hii bado...
Habarini wana jamvii nimehitimu kidato cha sita na division 3 ya 14 DEE kombi ya CBG baada ya matokeo nikawa sina budi kuomba diploma but nilikua naomba ushaurii kozi gani itakua na maslahi,na...
COMMUNICATION SKILLS
COMMUNICATION- Is the process of conveying information through the exchange of information from one point to another point.
ELEMENTS OF COMMUNICATION:
1. Sender
Is the...
Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu?
Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
Wakuu wana JFnaomben mawazo yenu... hali kitaa ni ngumu umri umekwenda sijapata ajira. Nataka nisome diploma ya afya nina miaka 42. Je nitaruhusiwa kusoma kwa umri huo au serikali itanizuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.