Habari wanajamvi. Samahani kwa kuwasumbua. Naomba nipate kushare dukuduku langu kuhusiana na barua za maombi ya Kazi pamoja na CV kwa waliowahi kuomba kazi.
Endapo unatakiwa kutuma maombi ya kazi...
Hipi nikozi nzuri kati ya hizi mbili biomedical science na Biotechnology mwenye uzohefu na hizi course au kamakunamtu anasoma course mojawapo nisaidie number.
Habari zenu wakuu nauliz kuhusu vyuo ninavyoweza pata nafasi ya masomo kwa course ya clinical medicine kwa wakat huu baada ya kukosa katika gorvenment l...
Nimemaliza diploma ya uuguzi, nilitaka kuunganisha degree lakini matokeo mbaka sasa bado hayajatoka ya diploma na applications round ya 3 mwisho kesho. Msaada anaefaham vyuo Vizuri vya afya nchi...
Habari zenu wakuu,
Kuna kijana ana matokeo kama ifuatavyo.
Diploma in Clinical Medicine
GPA ni 3.9 kahitimu 2015.
O' level ana:-
B/Maths - A,
Physics - B,
Chemistry -B,
Biology - B na
English -...
Habari zenu wakuu,
Nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu (PCB)na kapata division two ya 11. Ameomba degree DOCTOR OF MEDICINE hapa nchini amekosa, Kwa sasa familia tumeamua akasome nje ya...
Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry hata kwa chuo cha private?
O'level
Physics- D
Chemistry- D
Biology- C
English- C
B/Maths- F
Advance
Geog- "B"
Chemistry- C
Biology- "B"...
Wakuu habarini za saa hizi.
Husika na mada tajwa hapo juu... Mimi ni miongoni mwa walioomba mkopo, lakini kuna swala linanitaniza kidogo..
Juzi siku ya Jumatatu, nilipokuwa natembelea GOOGLE...
Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa...
Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika...
Katika kila hatua mpya ya maisha kuna mambo usiyoyajua kwa sehemu, ambayo ukiyajua na kuzingatia kwa asilimia kubwa yatakuwezesha kuwa na matokeo bora ya maisha tofauti na asiyeyajua kabisa...
Daah wakuu inaniuma sana kukosa nafasi kwenye hiki chuo cha wanyamapori Pasiansi. Ni chuo nilichokuwa napenda kwenda kusoma ila ndio basi tena nmekosa nafasi ya kuchaguliwa na sijui nifanyeje. Kwa...
Wakuu habarini za saizi
Ningependa kujua kwamba, hivi kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on...
Namna ya Kujenga Uhusiano Mzuri na Wafanyakazi Wenzako.
1.. *Wasaidie watu kufikia malengo yao - Usiwe kikwazo cha mafanikio ya wengine kikazi au binafsi.
2.. *Wafanye watu wajione wanakuzidi -...
Wakuu hbr ya jioni
Naomba wenye kuifahamu vizuri kozi ya tajwa hapo juu anijuze inahusu nn hasa. Kuna ndugu yangu amechaguliwa hiyo kazi sasa sina ufahamu mzuri kuhusu kozi hiyo..hasa nachoombwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.