Ndugu wanajamvi kwenye account yangu ya Udom admission nataka kuomba third around kwenye Apply online haifunguki,je tatizo hili nikwangu tu,msaada namna ya kusolve hili tatz
Naomba kuuliza field za ajira za kozi hiyo ya GEOGRAPHICAL information and Remote sensing mtu akimaliza anaajiriwa wapi?
Na kwa Tanzania inatolewa vyuo gani? Na lini imeanzishwa.
Kwa yeyote atakayeguswa nahitaji kumshauri kijana wangu lakini sina upeo wa nini achague ni kwamba amechaguliwa vyuo viwili course ya kwanza ni Gender and Development na chuo kingine course ni Bsc...
Habari za kazi wakuu nilikua nauliza kuwa hivi uchukua muda gani nacte kuverify matokeo kwa diploma manake sisi wengine matokeo yetu ndo yametumwa Jana nacte na AVN bado atujapata tunataka tuapply...
Ndugu wadau, kunakijana kapata admmsiion mbilihadi sasa,, 1.BSC with Education--St Johns University-Dodoma na 2. Diploma in Nursing and Mildwife-Kibondo school of nusring
Huyu binti alimaliza...
Za muda tena wadau wa jukwaa hili!
Naomba kujua je! mtu mwenye post graduate diploma iliyo tofauti na digrii yake ya kwanza anaweza kuwa na ufanisi ulio sawa katika utendaji na mtu mwenye...
Habari
Kijana kachaguliwa hiyo kozi (bachelor) ,mzumbe ,
-tofauti na Library kunakazi gani nyingine anaweza fanya kupitia hii kozi
-Ugumu wakozi
-Soko laJira lipoje
-unafaham nini kuhusu hii...
Habari zenu wadau!
Jamani hivi meseji zinazotumwa na NACTE kwa waombaji wote ambao majina yao yalipelekwa na vyuo NACTE kwa ajili ya uhakiki wa sifa za kujiunga na vyuo, mbona mimi sijapata siku...
Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha...
I am in dire need to get clarification before making decision where to join
Niko kwenye dilema huyu kijana anakwenda kusoma nini na applicability yake kwa Tanzania.
Inahusu nini hasa maana siyo...
Ndugu zangu natumai mu wazima . Samahani kidogo kwa kuchukua muda wenu , naomba mwenye joining instructions za Bwiru girls secondary school anisaidie. Kuna ndugu yangu anahamia hapo kidato cha...
Hali zenu wanajamvi hasa great thinkers!!
Nawaomba mnisaidie kuwaza:
1. Je hizi shule zetu za vipaji maalum zinakuza vipaji gani?
2. Je ni njia gani zinatumika kukuza vipaji husika?
3. Je walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.