Vyuo vinachagua/dahiri wanafunzi wenye sifa kwenye vyuo vyao kwa idadi waliyopewa na TCU, lakini wanafunzi waliochaguliwa nao wana hiari ya kuukubali/confirm udahiri wa chuo kwa kutumia mtandao...
Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii.
Mimi ni first year mtarajiwa.
Nawasilisha.
Wakuu mwenye uelewa naomba anieleweshe,maana npo njia panda, maana mwanzon nlikuwa naelewa kuwa ili uwe mwalim wa chuo Cha ualim diploma ni lazma uwe umesoma BED!! Swali langu ni je hata BSC...
Wakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course...
Haya wadau form za kujiunga na law xcul kwa batch za february na August next year zimetoka, visit The Law School Of Tanzania. Deadline ya kuapply ni december this year
Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya.
Nina ndugu yangu alitakiwa afanye...
Kichwa chajieleza.Bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma ya account pasipo back ground yoyote ya busness subjects. Naomba mwongozo maana nina dogo anahitaji sana na lengo lake ni kusoma...
Salam ndugu wote wa JF, naomba kufungua uwanja huu nikiwa nimebakiza masaa 96 tu (siku nne) kufikia kilele cha udahili wa vyuo ngazi ya diploma awamu ya pili.
Niliomba awamu ya kwanza...
Habari za Leo wakuu,
Naomba kufahamishwa katika hili.
Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
Naomba kuuliza,
Bs in bee keeping science and technology
inaajira kwa sasa kweli???!! Na kama haina ajira, mtu anaweza kujiajiri baadae???!! Na kama issue ni possible, haitohitaji capital...
Shikamoni wakubwa zangu,
Mini mdogo wenu baada ya kukosa chuo kozi ya udaktari katika mwaka wa masomo wa 2020/2021, bado sijakata tamaa ya ndoto yangu ya kuhudumia taifa kama daktari. Ombi langu...
Habari wanajamvi, ninaomba wenyeji wa Udom mnihabarishe maeneo sahihi jirani na chuo ambapo nitaweza pata chumba kwa gharama Kati ya 30000/40000
NB
Zingatia gharama husika za huduma za kijamii...
Naomba kuuliza,hivi kwa clinical Officer anaweza kusoma ile kozi ya mtoa dawa ya usingizi theatre.?
-inasomewa kwa miaka mingap io kozi ili awe mtaalamu wa io fani
-vigezo vya kusoma io kozi...
Ndugu zangu, nna mpango wa ku apply masters ya history hapo UDSM ila sasa kabla sijafanya maamuzi naomba niulize swali kwa walio wahi kusema masters ya history au masters nyingine yoyote...
Jamani mm nimpya ktk JF lkn naomb kuuliz ukwel kuhusu course ya geomatic na geoinformation zote ni ardhi....je zimetofautian nin na ni IPI nzur
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.