Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nasoma diploma lakini nasikia degree account ngumu sana matokeo yangu kama ifuatavyo certificate semi one GPA 3.4 semi two 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kitendo cha kudhindwa kuwapa wanagunzi accademic transcript ni udhaifu mkubwa mno unaoonyeshwa na uongozi wa DIT. Wakati vyuo vingine vimekwisha tia kwa wahitimu wao, DIT wanatengeneza mwanya wa...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Assalamualaikum. Natumaini wote ni wazima wa afya. Leo napenda niongelee swala moja linalo litikisa dunia na ulimwengu kiujumla katika pitapita zangu za kuongeza maarifa nikavutiwa na hii mada...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu na shida na notes za physcis za o level form 1 hadi form 4 ila na shida ya haraka zaidi notes za form 1 na form 2 nakama kuna past paper naomba.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna taarifa inayozunguka mitandaoni kuwa Mwl. Ayoub wa shule ya St. Florence Mikocheni Dar, anatembea na wanafunzi wake kimapenzi, hii taarifa ina ukakasi sana kwa sisi walimu wenzake na aibu...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari wakuu Naomba kusaidiwa elimu kuhusu hyo app tajwa hapo juu nimeona inahusishwa na mambo ya Bitcoin. Nanukuu "Hi, Yellow Card is a safe platform where you can buy or sell supported...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania ina Shule sita zinazojulikana kama Vipaji Maalum. Zipo nne za wavulana na mbili za wasichana. Shule hizo ni Mzumbe,Tabora Boys,Ilboru,na Kibaha(kwa wavulana). Kwa wasichana ni Kilakala na...
9 Reactions
297 Replies
44K Views
Hellow habari zenu wadau. Natumaini mu wazima wote. Naomba kujuzwa ni chuo gani bola kwa kozi ya pharmacy ngazi ya diploma
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu kuna ndoto nimeota lakini naona tusaidiane mnipe tafsiri iko hivi Gafla nilionekana nipo navuka korongo kabla ya kumaliza nikakuta mp3 vile vidude vya kusikilizia mziki vikiwa...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Habari za jioni wadau, Natumai nyinyi ni wazima nna mdogo wangu hapa yupo interested sana kuwa chef ila changamoto kubwa ni wapi pa kuanzia; matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwaio...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Eti kuna chuo cha mambo ya nyuklia? Vipi katika Afrika. Kuna chuo kinafundisha masuala ya Nyuklia?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anaejua ada ya kozi ya pharmac kampala university anisaidie
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Japokuwa maadili na tabia njema huanzia nyumbani ila shule naamini ina mchango mkubwa wa kuwafunza watoto hayo. Wizi baina ya watoto umekithir shule hii ukimpa mtoto kitu uhakika wa kurudi nacho...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Wadau habari za wakati huu Nina hitaji kusaidiwa vitabu vya saikolojia yaan uwezo wa kutambua saikoloji za watu mbali mbali nitakapomaliza kusoma vitabu hvyo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I'm serious here,so pls I don't like any kind of joking!!!!! Mwenye kujua anieleweshe bcoz my kamusi haina maana hizo ingawa nasikia BAKITA wameyaweka ktk kiswahili sanifu.
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Physics-C,chemistry-D,bios-E anaweza kusoma medicine nchi za nje..??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi wa Darasa la Saba wamemaliza Mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi, lkn ktk tathimini ya haraka haraka wanafunzi wengi wanalalamika kuwa mtihani wa somo la Hisabati ulikuwa mgumu...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Mambo zenu wakuu natumain mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa letu ,,,,, Nilikuwa naomba kama kuna yeyote ambae atakuwa na aya material anisaidie tafadhar ninashida...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani nmeuliza kuhusu laboratory science and technology na medical laboratory ipi nzuri na inamanufaaa makubwa baada ya kumaliza
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wakuu Bila kupepesa macho ujumbe huu uwafikie wote wanaotarajia kuomba vyuo mwaka huu, hizi kozi za afya kuna vyuo vya priavet ila sio vyote vina mambo ya hovyo na yasiyofaa kabiaa kwenye...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Back
Top Bottom