Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nataka kusoma PCB 1 year naombeni ushauri pia naomba kama unasoma au unaweza nisaidia notes au tuwasiliane plz
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu...! Somo la kiingereza limekua tatizo kubwaa kwa watoto wetu.. hasa kwenye shule za serikali (SENTI KAYUMBA) Je tatizo ni walimu? Je tatizo ni wazazi? Je tatizo ni mtaala...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Majina ya selected applicants waliomba vyuo round (degree) ya pili mwaka wa masomo 2021/2022 yanaweza yanatoka lini kutokana na uzoefu wenu. ? KCMUCo na CUHAS , hasa ndivyo vyuo nnavyovikusudia
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa. Je, mnachukua 3&4? Kama kuna malipo watoto waingie semeni please. Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina swali ndugu wanajamvi Kuna dogo alireseat mtihani matokeo km ifuatavyo kiswahili d,hist d,civ c,lit d bio d,geo d,eng c Kabla ya ku reseat kiswahili alikuwa na b sasa anataka kujisajili...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Historia ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine inaanza mwana 1965, ambapo kilianzishwa kikiwa Chuo cha Kilimo kilichokuwa kinatoa mafunzo ya kilimo kwa ngazi ya diploma. Kufuatia kuvunjika...
2 Reactions
244 Replies
73K Views
Nahitaji kununua vitabu (novel) na niko Mwanza. Wapi naweza pata?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wa mawazo ikiwa ndo siku ya kwanza kuitwa Kwenye interview...based on your career!! Viashiria gani positive inabidi uwe navyo na vipi inabidi uzue
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakati mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ukikaribia nimekuwa naona shule kadhaa zikifanya mahafali kabla watoto hawajafanya mitihani nakumbuka enzi zetu tulikuwa tunafanya pepa kisha mahafali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wadau vipi? Nimepata Kibarua hapa sehemu moja huku Mwanza. Sasa kuna machine zinahitaji calibration. 1. Temperature gauge kwenye Mixing centrifuge tank(Tank Ina heater) 2. Pressure gauge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini🤗
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habar wakuu Mimi Ni mhitimu wa kidatu cha sita kutokana na maamuzi wa wazee nililazimishwa kusoma sayansi A level japo Mimi napenda zaidi arts nimehitimu katika tahasusi ya PCM na Nina ndoto za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hey guys Kama title inavyoonekana kuna rafiki yangu nmemaliza nae six ali apply vyuo kadhaa akachaguliwa vyuo kadhaa pia mapicha yameanza kuonekana kwenye ku confirm amejaribu ku konfem kwenye...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari za muda huu wana jamvi? Mimi ni kijana wa kitanzania (Me) nina umri wa miaka 26, nimedahiliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing katika chuo kikuu cha dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau samahanini! Mimi ni graduate engineer hususan mambo ya ujenzi...nilikuwa napenda kujua ili upate nafasi ya seap ndani ya taasisi Fulani inakuwaje? Msaada tafadhali
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari ya mchana wapambanaji wenzangu, Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba msaada namba ya NACTE nimejaribu kufanya malipo ya transcript ila najaribu kuingia kwenye website yao ni request...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Anaefahamu ada ya kusoma medicine kampala university na makelele university kwa mwaka ni shingapi za kitanzania
1 Reactions
2 Replies
806 Views
Back
Top Bottom