Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hellow wana jamii. Nilikuwa nauliza kwa upendo. Je! Bsc. Chemistry kwa hapa nchini(🇹🇿) ni nzuri na ina soko maana mimi ni first year mtarajiwa kusomea hii kozi.
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Hbr wadau naomba kujua ukisoma masters au postgraduate diploma kutoka ITA ajira zinapatikina kwa urahisi kama jibu ni hapana masters gani au postgraduate diploma ipi inalipa na ajira ni rahisi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mkuu nahitaji kufanyiwa marekebisho katika Application ya chuo , Hapo udom Napiga Simu zenu hazipokelewi. Email hazijibiwi. Katika kuomba chuo nilikosea kuweka namba yangu ya First sitting...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti Ni kweli Mwalimu Nyerere majibu yametoka?? Na Kama yametoka nimeingia kwenye account yangu ipo hivo ina maana sijachaguliwa au nisubiri subiri???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada jinsi ya ku uncorfim admission katika chuo cha ifm anaeweza anipe msaada nafanyaje
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mfumo wa Elimu ya Afrika tulioachiwa na Wazungu ni mfumo unaoharibu Akili na Saikolojia ya Wanafunzi. Wazungu wao wanasoma Elimu ya Maarifa na Wanasoma Future, sisi Afrika tunasoma vitu visivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza Dictionary Softcopy English-Kiswahili maneno (A-Z) Bei 4000 pia kuna Softcopy za notes za Formone *Biology *Geography *History
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kupitia uzi huu tupeane updates kuhusu maombi ya mikopo kupitia HESLB. Ikiwa unapata utata wowote ule, uweke hapa na wajuzi wa mambo watakuelekeza cha kufanya. Cha muhimu tuwe na...
1 Reactions
346 Replies
153K Views
NOTE: THIS EXAM IS NOT NECTA. ITS EXAM FOR SELF-TESTING ONLY. Our Online examination systeam is conducting exam online to measure the knowledge of the students from primary to secondary level...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM. Naomba ufafanuzi juu ya course ya...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Ni degree gani za biashara anaweza kujiunga mtu wa HGL/HGK/HKL na combination zote zisizo na Basic applied math(BAM) A level?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu zangu samahni kwa usumbufu ila naomba kama kuna mtu anafahamu lolote kuhusu course ya health Information science (diploma), ajira yake ni ipi, uwepo wa ajira , salary yake and any other...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Wakuu, Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa! Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanajamvi, Nianze tu kwa kusema kuwa Kuna upotoshwaji mkubwa juu ya program mbili hizi(BA.Ed/BSc Ed vs B.Ed) ambapo watu wengi wamekuwa wakitoa maelezo ambayo si ya kweli...
8 Reactions
12 Replies
6K Views
Niende moja moja mimi natamani kujiendeleza lakini sio katika fani ya ualimu tena naomba mnishauri nisomee fani gani nzuri kwa matokeo haya iv 27 miaka ile history c, math f, civic d, geography d...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni, Morogoro Road. Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wakuu, Natumaini mpo gud lengo la thread hii wakuu naomba msaada wa mtu anayewezanipa list ya Vyuo vinavyo toa kozi ya Human resources management kwa Dar es Salaam
1 Reactions
8 Replies
12K Views
Wakuu msaada naomba kufahamishwa shule ya bweni nzuri na salama kimalezi kwa mtoto wa miaka minne ndani ya mkoa DSM na Pwani, nina dharura inabidi mtoto akakae kwa mwaka moja Natanguliza shukrani
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza hivi bodi wakishafunga dirisha la kuapply mkopo Huwa wanatoa nafasi nyingine ya kuapply? Maana mdogo angu Cheti chake cha kuzaliwa kilipotea na Rita wanamzungusha...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Eti wameshatangaza waliochaguliwa vyuo vya afya au bado maana walisema wanatangaza 22/8 nao mpka sasa hivi sijasikia kitu. Naombeni msaada hapo
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom