Unajua ata ukifa siku unayozikwa wanataja cheo cha marehemu,jamani kuna mda unakata tamaa na izi fani zisizo na ajira nasomea uhasibu diploma saizi naenda kumaliza semester ya mwisho lakini kutwa...
Hello jf members, Nilikuwa naomba mnijuze kama mtu wa CBG anaweza kusoma medicine au nursing. Na kama haiwezekani katika vyuo vyote je baada ya kuhitimu a level anaweza kusoma physics?
habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree...
Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule.
Kuna shule...
Kwa yeyote anaefahamu juu ya utaratibu wa kujiunga chuo Kikuu huria anieleze utaratibu wa ada na je uwezekano wa kufanikiwa kuhitimu kwa wakati upo? Nahitaji kusoma master hasa master inayohusu...
Napenda kuuliza kwa wanaojua na wenye uzoefu: je hizi taasisi unapokwenda kuomba chuo na ukaletewa offer ya chuo mfano gharama ya masomo na malazi $3200 na ilipa hiyo taasisi kwenye acc yake je...
Eti wakuu samahani,
Je, kuna utofauti gani kati ya Bachelor of Arts in economics na Bachelor Science in Economics and Finance interm of meaning and career.
Habari wakuu
Mimi nina Bachelor of science(education) chem&biol nimefikiria kuongeza wigo wa kielimu mwaka huu,kwa kubobea katika kada ya afya kwa kusoma Masters of public health by distance...
Wakuu habari za leo.
Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law.
Amechaguliwa kusoma pia Insurance...
Wakuu kwema!
Kwa sasa tumeshakuwa watu wazima, maisha yanaendelea vizuri. Leo nimekumbuka mambo niliyokuwa nayapenda enzi hizo miaka kumi iliyopita nilipokuwa masomoni.
Mimi nilikuwa miongoni...
Ndugu yangu huyu kamaliza form six mwaka huu na matokeo amepata division 1 na selection za chuo amepata UDSM course ya Bachelor of Agriculture and Natural Resources Economics and Business na NIT...
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu
Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini...
Ni jambo moja kuamua usomee nini, na ni jambo la pili kuamua ukasomee wapi.
Tanzania Kuna vyuo vikuu na vyuo vya kati zaidi ya 100
Lakini utalazimika kuchagua kimoja tu katika hivyo vingi ili...
Habar wapendwa,
Wakuu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu hii course ya health information science kuwa ina husu nn na je n nzuri. Nmemaliza kidato Cha nne mwaka jana nmefaulu kwa divsn 1 ya 12 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.