1. Kama unahitaji mchango (donations) wa jambo lolote, EPUKA kuuliza watu kama wangependa kukuchangia au lah na BADALA YAKE waulize kama wangependa kuchangia elfu 5 au elfu 10 (hicho kiasi ni...
Mwenye kuzijua hiz kozi atupe mwanga [emoji119][emoji120]
- Bachelor of Business Administration
- Bachelor of Science in Library and Information Management
Ipi Bora, soko, [emoji120]
Habar wakuu,
Nilikuwa naomba kuuliza vipi kuhusu iyo kozi niliyo iandika hapo juu ambayo inatolewa Ardhi University. Iko poa kwenye swala la ajira na pia inahusiana na nini sana sana?
Dogo amechaguliwa Bachelor of commerce Finance UDSM
Na Bachelor of science economics and finance IFM.
Wajuvi wa mambo haya nisaidieni tafadhali.
Natanguliza shukrani
Miongoni mwa kozi zinazooneka kinara katika Sekta ya Afya ni hizi kozi mbili, Doctor of Medicine(MD) na Bachelor of Pharmacy(BPharm)
Je ni ipi kozi bora kuliko nyingine? Kwa nini?
Je ni ipi kozi...
Nmechaguliwa bachela of econimics_moshi,he hii kozi nitafanya kazi zipi ukiachilia mbali kujiajiri,na je utofauti uliopo kati ya bachela of economics na bachela of art in economics ni UPI?
Habari za leo wakuu,
Nina ndugu yangu kachaguliwa kama ifuatavyo.
1. IFM - Bachelor of Accounting
2. TIA - Bachelor of Accountancy
3. ARDHI - Bachelor of Science in Accounting and Finance
Je...
Habari wakuu..
Mimi mhitimu wa Ordinary diploma in Nursing and Midwifery overall GPA 4.5
Advance Level sikusoma.
Form Four Nina Division Three.
Ndoto yangu kubwa na wazo langu ni kusoma abroad...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa ongezeko la siku za masomo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, likizo nazo wanaendelea kusoma. Najiuliza hivi hizi likizo hazina maana tena? Au vichwa...
Habarini wakuu ni mdogo wangu amechaguliwa kozi hizi
1. BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING - Ardhi university
2.BD. Water Resources and Irrigation Enginee - water...
Mbona majina yalio toka ni ya walio chaguliwa zaid ya chuo kimoja ama coz zaid ya moja VIP AMBAO WAMECHAGULIWA NA CHUO KIMOJA MAJINA YAO TUNAYAONA WAPI
Naomba ufafunuzi jamani wa some terms of game theoroea kwa ufasaha sana mana pale udsm hakuna lecturer anayejua hii topic kisawasawa wote wanapapasa tu na inaonekana walikalili tu.
1. Nash...
Habarini za mchana,
Naomba msaada wa mawazo juu ya hii kozi hapo juu nimechaguliwa UDOM, nikisoma hii kozi kuna uwezekano wa kuwa mwalimu wa Biology au inahusika na nini hasa nje na ualimu.
Jamani salam, nimefarijika sana leo kuwakumbuka wahandisi wetu katika kila nyanja, iwe umeme, maji n.k.
Naomba wote tuliosoma engineering katika nyanja mbali mbali tukutane tu-share ideas mbali...
Watanzania tumeaminishwa kuwa tunapewa elimu ya bureeee kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha 4.
Katika kutekeleza huo mpango wizara imeonyesha kuwa inafanya mipango kisiasa tu badala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.