Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ninajua hii itaondolewa hapa haraka,, some na usambaze. Chanjo ya covid 19 inamtengeneze mtu mpya. Hutakuwa wewe tena wala watoto wako, na vizazi vyakkko vyote. Ndiyo sababu inapigiwa kelele kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine Binafsi sifahamu njia za kupitia ili...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Salaam wadau,naomba niulize kama kuna mtu humu ndani anauelewa zaidi jinsi ya kujiunga na vyuo vya UK kwa ajili ya masters,nataka nifahamu zaidi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kuuliza Nina rafiki amemaliza kidatu cha nne Kenya (Kcse) anataka kufanya conversation ya grade zake kwa mfumo wa necta je afanye nn?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani? Ufaulu div 3.13 HGK Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari ndugu, Samahani naomba kwa anayefahamu ni chuo gani kilichopo DAR kinatoa course ya Counseling au Counselling psychology kwenye level ya post graduate. Natanguliza shukurani. Regards Aqua
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tax Computation on Imported Motor Vehicles For non-utility vehicles of less than eight years old from the year of manufacture. Illustration 1 Imported non-utility vehicles with engine capacity...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi vitu gani ni muhimu anapaswa kuwa navyo mhitimu wa diploma ili kuweza kufanya maombi ya vyuo kwa usahihi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kwa mwalimu mwenye kufahamu hizi formula za excel ktk kutafuta GPA, POSITION(asending or descending), SUM kwenye kupanga matokeo ya wanafunzi. msaada tafadhari.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ya jumatatu wandugu. Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya uzima wanajamvi? Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Mimi ni mdau wa elimu nimekua nikifatilia kwa kiasi mijadala inayohusiana...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninaomba msaada juu ya ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima-IAE cha DSM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wa kuu, kama swali lilivo ningependa kujua kama mtu ana GPA za lower divisions , kisha anakazana kusoma Masters mpaka PhD, kuna opportunities gani atapata maana tumezoea hayo kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Access Bank and Udacity will provide 1,000 Nanodegree program scholarships for people in Africa to build practical, in-demand, cutting-edge tech skills. The scholarship will create upskilling...
1 Reactions
0 Replies
810 Views
Wahitim weng wa Foundation progra wanalalamika kuwa hawajapata chuo kwenye first round! Wew uliebahatika kupata kwa kutumia hayo matoke ya Foundation course njoo uwape moyo wenzio,ikiwezekana...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
2 Reactions
40 Replies
5K Views
UFAULU wa mtihani wa kidato cha sita kwa mwaka huu umepungua kwa asilimia moja ikilinganishwa na mwaka jana. Wavulana wameibuka kidedea kwa kushika nafasi zote 10 bora. Pamoja na hayo...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Naomba kuuliza. Kwa mtu mwenye leseni class c1, c2, c3 ambayo aliinunua yaani hana cheti cha veta, je akihitaji kwenda kusoma kozi ya basic driving ili apate cheti anaruhusiwa???
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom