Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimejaribu kurisiti PCM naona naangukia pua tu wakati niliorisiti nao wapo vyuoni sasa na wote wamerisiti masomo ya sanaa. Serikali inabidi ijue kwamba sayansi...
Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders...
Kaka habari za leo wanajukwaa
naomba ushauri toka kwako
Nataka kusoma masters na tayari nimepata kudahiliwa chuo kikuu kwa kozi ya masters of natural resorce management
Ushauri niuombao ni...
ELIMU TANZANIA SHIDA NINI?
kwa mjibu wa Jamii Forums, Mwaka 2017 wavulana 36,434 waliacha shule, na wasichana 29,708 waliacha shule Katika Mwaka huo na kufanya jumla 66142.
Miaka mitatu baadaye...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23.
Shikamooni wa kubwa rikaa yangu habari zenu natumain wote ni wazima na mnaendelea vyema na jukumu la kulijenga taifa letu lenye kubarikiwa na Mungu...
Habari za saivi wana JF,
Nimekutana na changamoto apa mwanzo niliattach vote card ya mdhamini ila ikajitoa kwa bahati mbaya kwenye system sasa kila nikiingia nakutana na maelezo ya kuweka tena...
wakuu habari za kushinda???..
ndugu zangu wakuu.. naomba mwenye kujua hili anisaidie na aseme lolote..
nilipokuwa naomba mkopo.. nilijaribu kuwa makini sana na kuweka all required details...
Nini maana ya
1)Ground Substance?
2)Je Fibrous Protein na Fiber ni kitu kimoja?
3)Nini maana ya Extracellular Matrix
4)Basement Membrane
5)Inflammatory ni Nini
6)Bone marrow
Wakuu samahani nilikuwa nauliza kwa mtu mwenye ufaulu wa div one ya8 (1.8) HGL kwa ufaulu wa mwaka huu 2021 ulivyo na ushindani uliopo pale UDSM je, ana asilimia kubwa kupata kuchaguliwa kozi ya...
Wakuu habarini za mida,
Leo nataka niwahabarishe baadhi ya fursa za masomo huku ughaibuni na njia rahisi yakuzifikifikia.
Zifuatazo ni baadhi ya full funded scholarships zisizohitaji GPA ya 3.7...
Habari wadau wa Elimu,
Nipo njiapanda kuchagua kati ya hizo Masters mbili tajwa hapo juu lengo nifanye ACCA na CPA(T) baadae.
Napokea mawazo na ushauri kutoka kwenu wakuu.Karibuni
Moja ya jambo ambalo vijana wengi wanafanya wakiwa katika kuchagua course za kusomea chuoni ni kufata mkumbo na kuiga kile ambacho wenzao wamechagua.
Wito wangu kwa form six wote waliomaliza sasa...
Hello members,
Nimeanza kusoma CPA NBAA Tanzania. Nipo foundation Level. Bado sijatembelea vituo vingi vya tuition. Najisomea taratibu kila nipatapo chance.
Karibuni tujadili mawili matatu.
wakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer, amefanya kazi miaka mitano kwenye kampuni ya mambo ya umeme, na sasa anaandika report ya kuwasilisha ERB ili aweze kusajiliwa awe professional...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.