Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kuuliza hivi, ni kweli et kuna wanachuo wanaosomea diploma ya elimu ya awali? je kama wapo wataajiriwa na serikali au vip maana kuna mtu kaniambia et kuna wanachuo wanasoma diploma miaka 3...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Jamani Mimi ni applicant wa hiki chuo (SUZA) nipo bara.. Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hiko chuo tafadhali naomba maelekezo, maoni na Ushauri pia#
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari, Msaada namna ya kuandika proposal nzuri.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jana raisi alizindua sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2015. Kwa mujibu wa raisi, sera hiyo inalenga kuboresha elimu, baada ya kufanikiwa kupanua elimu. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Wasalaam Wakuu nataka kufanya certification ya hizi program NCSE na ITIL Kwa tanzania wapi naweza kupata team ya kufanya discussion+test before zijapiga paper
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna hii kozi inatolewa na Veta dsm inahusika na ufundi wa office machines kama printers na photocopy machine. Nimewiwa kuisoma hii kozi naomba kufahamu soko na faida ya hii kozi.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwema wakuu! Natafuta chuo kinachofundisha Mambo ya video production kiwepo Dar au Dom. Mwenye kufahamu anifahamishe tafadhal
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Ufaulu wa D mbili Na C moja masomo ya social form 4 anaweza enda chuo ? Maana mimi ninajua D nne ndio zatakiwa lkn mwl nyerere wamekataa. Msaada apate chuo jamani.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wanajamvi, Habarini za Leo! Ninaomba wizara husika na baraza la mitihani la Taifa (BAMITA) AU NECTA watueleze kipi haswa kinachofanya wasitoe ratiba ya mitihani ya vidato hivyo mpaka muda huu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye ufahamu kuhusu diploma in primary education inayotolewa open university ,naomba anisaidie kujua vifuatavyo *Namna jinsi kozi inavyotolewa *Ada na gharama zote kwa mwaka *Others...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu ndugu yangu kachelewa kuomba chuo hivyo nauliza kutakuwa na awamu nyingine baada ya kufungwa 05/08/2020 kufungwa? Asante
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi mtu akirisiti somo mfano: Amesoma pcb ila anataka arisit labda physics tu. Je, akishindwa kulifauli inaathiri matokeo ya mwanzo.??? Na je kuna uwezekano wa kuli reseat tena kwa wakati mwengine?
1 Reactions
3 Replies
976 Views
Ikitokea mwanafunzi ajapanga maswali yake vizur mnasaishaje huo mtihani Mara nyingi inatokea kwasababu ya kukata kata labda ameanza No 1,4,3,akaja 2 vipi msaishaji atamkata max kwa kutofata...
0 Reactions
5 Replies
866 Views
Wazazi wengi mmekuwa kikwazo cha watoto wenu katika kufikia ndoto zao na malengo yao. wazazi wengi mnawalazimisha watoto wenu kufanya vitu mnavyovitaka nyie na sio wanavyovipenda wao ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni ushauri, Nataka kusoma kozi ya health system management pale mzumbe, Nina one ya 9 Je ipo vizuri na naweza pata nafasi?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kumekuwa na ukatishaji ndoto kwa watoto na unyanyasaji mkubwa wa vipawa na machaguo ya watoto hasa pale wanapotaka kusoma au kufanya kitu ambacho mzazi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za kwenu wanajamvi.. ni matumaini yangu mu wazima wa buheri kabisa.... Naitwa Mwl. Victor Nyanda ni mwl mtarajiwa wa shule ya secondary nyampulukano iliyoko sengerema mkoa wa mwanza... sa...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Jamani nataka kujua tofauti kati ya MBBS (bachelor of medicine and bachelor of surger) na MD (medical doctor)
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom