Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ne apply chuo ni mwezi sasa nimepata status hii, inamaana gani ? Naombeni mnisaidie plz. Current application round is closed for internal processing of applications. Please keep on checking in...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Ushauri wangu, majina yatakapotoka leo au wiki hii jiridhishe na chuo husika ndio uconfirm..ikiwemo ada ya chuo (usifanye confirmation kwa kuangalia loan board, wakati mwingine ni bahati tu)...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani ndugu zangu naomba msaada jinsi ninavyoweza kubadili course niliochaguliwa ya civil engineering kuwa computer Engineering hapo chuoni Dit nitakapo
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuna hizi shule Tanzania wanasema ni za vipaji, Kisimiri, Kilakala, Ilboru, Kibaha, Mzumbe n.k. Je, kwa matokeo ya hivi karibuni bado zinastahili kuwa za vipaji(special school)?
2 Reactions
20 Replies
20K Views
Present Simple Present simple form I go to the cinema every week Past Past simple form I went to the cinema last week Future Will + bare infinitive I will go to the cinema with you...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Wakuu polen na majukumu tafadhali naomba mwenye soft copy za vitabu vya English na Geography vya TIE Asante
0 Reactions
3 Replies
4K Views
wakuu Habarini za saiz.. tumsifu yesu kristo.. Bwana yesu asifiwe... salam alihekum... wakuu wangu kuna swala dogo sana linanisumbua akili ... naombeni mnieleweshe .. ivi kozi zote...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Nina swali japo sio la msingi sana kwanini Kama matunda ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
7 Reactions
81 Replies
8K Views
Habari, Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound? Na pia ni vyuo gani wanatoa kozi hiyo? Natanguliza Shukurani.
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Hii dhuluma kwa walimu zitaisha lini?kwa halmashaur ya wilaya babat afisa taaluma sekondari wilaya amelipwa 270,000/wakuu wa shule wanajiita kamat ya mitihan 240,000.waalimu waliosahisha kwa siku...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi yale mafunzo ya addo mtwara yamefikia wapi..??maana toka tutume application hakuna feedback yoyote,,,mwenye update anipe kuhusu addo course mtwara
1 Reactions
3 Replies
631 Views
Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo kwa uhakika, mimi nmeomba economics and agribusiness, vipi nikibahatika kudahiliwa, nitaweza pata mkopo kwa uhakika?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za majukumu, Jaman nnaomba ushaur course ip itakua nzur kwang kusomea na yenye soko kwa sasa nmemaliza katika mchepuo wa egm nilikuwa naiwaza architecture na mambo kuhusiaana na aardhi...
0 Reactions
41 Replies
41K Views
Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mawazo yote yanaheshimiwa, Msaada unahitajika kwa wahitimu wa diploma. Ni kozi gani zinaweza kuwa na uwanja mpana kwa government, private na hata kujiajiri kati ya hizi? 1: Bachelor of Community...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wakuu . nilikua naomba msaada wa kutajiwa bei ya vifaa vifuatavyo . 1. Voltmeter,galvanometer, ameter, resistors (rheostat) 2. Calorimeter. 3. Spiral springs. 4. Laboratory beam balance ...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu heshima yenu, Nataka nimpeleke dogo akasome chuo Ukraine. Kamaliza six juzi kati hapa, noambeni faida na hasara za yeye kusoma Ukraine! Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu poleni kwa majukumu bila shaka mnaendelea na majukumu ya kila siku. Kuna mdogo wangu ana Diploma ya information technology (IT). Naomba kuuliza kama kwa diploma hyo anaweza soma bachelor...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom