Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
BODI YA MIKOPO YAZIDI KUWAKANDAMIZA WATANZANIA MASKINI: RAIS WETU TUSAIDIE KATIKA HILI Anaandika Justus Mbawala, 0753 917802 (Copy And Paste) Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana mama...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Msaada Unaweza ukasoma HGE ukapata course unayoweza kuwa financial analyst?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mtu yyte ambye anaejua company, organization o kiwanda chochote kizur dodoma cha kufanyiwa field
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, Naomba nipate muundo wa barua ya uhamisho kutoka Chuo kwenda Chuo kwa mtu yoyote anayefahamu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ninayehitaji kuhama kutoka Dar es...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Wakuu kwenye zile stage za kujaza kuomba mkopo online kutoka bodi ya mkopo wa elimu ya juu kwenye kipengele cha GUARANTOR DETAILS kuna sehem inataka adimision letter ya mdhamini au nitakuwa nimekosea?
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Nataraji Wakuu mpo salama na familia zenu. Naomba kujua kuhusu elimu ya udereva. Je, unaweza kusomea udereva wa magari makubwa kabla ya kusomea magari madogo? Tufahamu kuwa mhusika hana ujuzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari , Ninasikitika kusema kuwa jambo ambalo laonekana kuwa dogo, hilolohilo limekatisha ndoto za vijana wengi nchini Tanzania, nimefanya application ya mkopo ili niendelee na chuo kikuu...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu, Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo. Kwa njia ya MPESA.
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kuna wadogo zetu walimaliza kidato cha sita na matokeo yao yanatarajia kutoka karibuni, kwa sasa wanakaribia kwenye mchakato wa kujaza vyuo na uchaguzi wa shahada watazochukua. Ni...
3 Reactions
2K Replies
194K Views
Tumesoma siku nyingi kidogo - Nimemaliza form Six 1994 hivyo kuna vitu nimeshasahau. Nataka kujua kuhusu division One mpaka Zero. Division 1naelewa ina anzia point 3 ---- mpaka ngapi? Division 2...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Take your time and go through a well-prepared presentation on Covid-19 vaccine by our scientists [emoji16]
0 Reactions
3 Replies
688 Views
jamani kuna mdogo wangu kachaguliwa kozi ya environmental science and management pale ardhi hv hyo kozi ni nzuri? na inahusu nini? na vipi kuhusu ajira zake?
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Heri ya mwaka mpya Jf members! ,naomba anayefahamu namna ya kuandika barua ya ruhusa ya kwenda kusoma (university) kwa watumishi wa umma,nataka nikaongeze maarifa
0 Reactions
4 Replies
14K Views
Wakuu poleni na majukumu, naomba kujuzwa chuo kinacho toa mafunzo ya udereva kizuri cha uhakika na chenye gharama nafuu mkoani Arusha. Asante sana[emoji120]
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Assalam aleykum Wakuu naomba mnisaidie sifa za kufanya mtihani wa kidato cha sita (kama Mtahiniwa wa kujitegemea) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
44 Replies
58K Views
Najua unahitaji kuwa na GPA y 3.5 kupata sifa ya kujiunga na MD by TCU standards! Katika daily practice, kuna mwombaji aliyepokelewa MUHAS with this qualification? Nisaidieni information please...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Unajiuliza kwanini watoto wanafeli mitihani yao? Jibu hili hapa
0 Reactions
5 Replies
770 Views
Wakubwa shikamooni,habarini jamani. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24,nimemaliza mwaka 2020 clinical officer.Natafuta nafasi ya kazi kwenye vituo cha afya chochote,au uuzaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarii!!hivi hakuna chuo chengine cha bei nafuu kama Veta Ada 150,000 kwa week mbili??mdogo wangu anataka kusoma hii kozi ya Database??ameenda veta wamemwambia mpka wawe wawili Ndio...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom