Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Msaada wakuu, Naweza pata MUST, UDOM, n.k Kwa civil au electrical engineer kwa ufaulu huo? Je, naweza soma kozi ipi nzuri nyingine?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu namna gani? Naulizia katika ulimwengu wa IT, kozi zinazokimbiza kwa Sasa sokoni.
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hellow, Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri? Hapa namaanisha...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kutajiwa vyuo vizuri private Kwa kozi ya clinical medicine, itakuwa vizuri kama hicho Chuo kipo karibu na hospital ama ni university college, marks zangu ni bios-A Chemistry-A...
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Habari za saa hii wakuu Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari humu ndani. Hoja yangu ni fupi inahitaji maoni yenu. Ada za vyuo zinalipwa kwa mfumo wa control number. Nimelipa ada ila kuna mtu nilimuomba anilipie anataka kunilipia kiasi amenipa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu, kuna chuo kimeorodhesh hizi kozi mbili kuwa zinatolewa sasa mmi sijaelewa tofauti yake maana kwa mimi nimeona Kama vile zinafanana lakini wao wamezitofautisha hata muda wake wakuzisoma...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari zenu wadau na mdogo wangu kapata div one point 8. Chem-B Phy-B Bio-D Anataka kusomea udactar je atapata na aombe vyuo gani ili afanikish ndoto yake
3 Reactions
60 Replies
8K Views
Inakuaje wadau,nilikuwa ninauliza hivi hiv hii koz ya urban and regional planning ndio ikoje,na je vipi kweny ishu za ajira kwa koz hii n changamoto au inakuaje.
0 Reactions
203 Replies
44K Views
Mdogo wangu amepata matokeo hayo je journalism inalipa?
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Mzumbe University invites applications from qualified Tanzanians and non-Tanzanians for admission into Certificate, Diploma Bachelor and Postgraduate programmes offered by the University for...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama bado hujajua kubairisha pdf kuwa word fuata Hatua hizi ni rahisi sana Note: Hakikisha una Microsoft 2013......2021
1 Reactions
2 Replies
674 Views
Hivi huwa najiuliza inakuaje mtu anajifunza kitu flani hafu kukiapply anahitajika apate license kwa kiwango flani Cha pesa kwa mfano 1.Mtu anaenda shule unatoa ada unatumia mda wako unajifunza...
2 Reactions
9 Replies
869 Views
Kwanza nianze kwa kuwapa pole kwa kuongezeka kwa gharama za asubuhi uendeshaji wa maisha ikiwemo kuongezeka kwa tozo za miamala ya simu, Kupanda kwa Bei ya mafuta n.k. Utaratibu wa wasomi...
1 Reactions
6 Replies
768 Views
Habari zenu nina shida ya notes za kifaransa za A-level pamoja na majina vitabu vya riwaya na tamthiliya vinavyotumika kujibia maswali. Na kama kuna mwalimu au anayeuza vitabu hivyo naomba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba kuuliza kuna anaefahamu jinsi ya kuandika muhtasari wa kikao cha familia cha kifo baada ya kutokea. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
19 Replies
65K Views
Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo. Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba. Mwanafunzi ana CEE ya CBG...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ha bar i wanandugu. Ivi hii kozi ipo hapa nchini kwetu na soko lake la ajira likoje
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba kufahamishwa je uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa Rita kwa waombaji mkopo 2021/2022 ushaanza?
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Mwenye anaweza kunisaidia please! ..kuna dogo amemaliza f4 na kuchaguliwa high school HGL Unfortunately enough dogo hana interest kabisa na masomo ya arts ..yeye ni hama asome PCB au aende...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom