Ndugu wanajamii forums, Habarini za asubuhi.
Naomba tuweze kusaidizana kwa MITIHANI mbalimbali kwa watoto wetu.
Nimeanzia primary lkn naendelea kuweka MITIHANI mingi zaidi
Kwa wale wahitimu wa diploma ambao hatujapata AVN kutoka NACTE kutokana na vyuo kuchelewa ku upload matokeo ya diploma kwenye system ya NACTE. System ya Ku upload matokeo NACTE, itafunguliwa...
Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande...
Ni matumaini yangu mu wazima na mnaendelea vema na majukumu ya hapa na pale
Kuna hii kozi inayoitwa health information system (HIS) inatolewa UDOM ninaomba kujua inahusika na nini na pia mtu...
Wakuu, mie nina kijana aliyemaliza kidato cha sita na sasa yupo JKT kwa mujibu wa sheria.
Nimepata taarifa kuwa mwaka huu vijana hawaruhusiwi kurejea nyumbani kipindi cha kutuma maombi ya...
Hata maneno na michoro ni biashara na fahari kubwa me nadhani imefika muda kama taifa kuanza kusoma elimu zote kwa kiswahili na inawezekana msikariri kwamba lugha yetu haiwezi kutuletea mapinduzi...
Habari zenu ,
wapendwa mm naitwa elia,nmemaliza diploma ya ualimu secondary mwaka huu,sasa changamoto yangu ni wakati huu wa ku apply chuo kikuu ambapo kila nikitaka verification number inakataaa...
Najaribu kuomba kozi , tatizo ninalolipata ni kuwa ukienda kwenye Colleges na kubonyeza link ya offered programmes haileti hizo offered programmes eg.
College of health sciences. Hii ni kwa...
1.0 Call for Application
The General public is hereby informed that the Ireland-Africa Fellows Scholarship programme for 2022/2023 academic year is now open for eligible Tanzanians to study a...
Habari za muda huu wadau, hiv majuzi niliuliza kuhusu wanafunzi majina yao yalitoka kuwa watapangwa second selection advance lakin hawakupangwa, sasa naomba msaada hapa, naona NACTE wamesha fungua...
Msaada na mdogo wangu amesomea CBG na matokeo yake ni kama ifuatavyo CHEM B BIOLOGY C GEO B BAM C GS B ILA FORM 4 ALIKUWA NA F YA MATH ILA ALIKUWA NA BIOLOGY B GEO C CHEM B NA MENGINE YOTE NI C...
Wakuu neema ya bwana iwe juu yenu naombeni msaada juu la hili.
Nilikuwa nahakiki cheti cha kifo lakini katika harakati za kufungua account na kureigister waliniambia eti wananitumia TOKEN kwenye...
Wandugu, bado kuna shida ya kupata control number. Tetesi ni kwamba, kuna baadhi ya waombaji walisogea karibu na jengo la bodi, wakidhani kwamba pale ndipo mtandao utajibu haraka.
Wengine...
Poleni na majukumu ya kazi
Samahani naomba kuuliza: Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mwenye ASTASHAHADA tu natamani kujiendeleza angalau kufikia SHAHADA
Sasa najiuliza je, baada ya...
Hiki chuo naona kwa nyakati tofauti kimekuwa na tabia ya kuzuiwa udahili ba TCU. Naona msimu huu pia hamna kitu ila mwaka jana walidahili. Tatizo kubwa ni nini pale SFUCHAS. Mbona product zao ziko...
ELIMU KUCHUKIWA
Habari wanajamvi natumai hamjambo napenda kuanza kama ifuatavyo wahitimu wengi hivi karibuni wamekua hawafurahishwi na usomi wao pamoja muda mwingi na nguvu nyingi walizo tumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.