Naitwa Mourine Elisha, mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha( IAA), Niko mwaka wa pili nikichukilia Bachelor degree in Economics and finance. Natafta sehem kwa ajili ya field I'm competent in...
Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya...
Habari za wakati huu,
Wale tuliochanguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021, karibuni tupeane details zinazoendelea kwa ajiri ya joining instructions, Admission letter na hata taratibu...
Nimemaliza mwaka huu 2021 PCM division 2.12 na matokeo yafutayo:
Physics D
Chemistry S
Advance mathematics B
Naombeni ushauri ni course gani itafaa kwa ufaulu huo.
ELIMU BORA ITAKAYO FANYA MAPINDUZI YA KIUCHUMI TANZANIA
Neno elimi lina dhana pana sana ki maana, wapo walio sema elimu ni dira, elimu ni ufunguo wa maisha n.k
Kwa maana hiyo basi elimu ni...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nina kijana wangu anataka kusoma hiyo kozi chuo kikuu,sasa sio mjuzi sana kwenye maswala ya vyuo vikuu vinavyofundisha vizuri,maadili na hata huduma...
Habari zenu nina shida ya notes za Kifaransa za A-level pamoja na majina vitabu vya riwaya na tamthiliya vinavyotumika kujibia maswali.
Na kama kuna mwalimu au anayeuza vitabu hivyo naomba...
Wakuu hii mada naomba tuijadili hapa.
Binafsi kama sioni fyucha ya vijana wa PCM Tanzania.
Haijalishi kapiga one kali au ya kawaida.
Mada ni hii hapa mezani.
Je, Wanaohitimu PCM wanafyucha...
Samahani wakuu nilikuwa napitia website ya NACTE kuangalia sifa za wanaotakiwa kujiunga na hii kozi. Naona maelekezo yote yanaonyesha kuwa anatakiwa mtu aliyemaliza Form four. Sasa kuna hawa...
Wanangu kwema!
Je, katika elimu ya chuo kikuu, kwa coz mfano ya Bachelor of education in management and administration, topic zake huwa zinajulikana kwa Kila semister kiasi kwamba mtu anaweza...
Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo...
MAOMBI YENYE KUBAHATISHA
kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na...
Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya...
Wakuu natafuta well competent person either student au Mtu aliepo Uraiani anaemudu vizuri kutumia izo software ili aweze kunifundisha, Aje dm
Location: Morogoro Mjini
Katika Darasa Huru,
Ushauri serikali ianzishe au kurudisha masomo yaliyo kuwa yanafundishwa zamani ili kusaidia kutokana na anguko la Ajira.
Masomo hayo Ni kama vile.
👉Sayansi kimu, Maarifa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.