Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jaman naombeni msaada na ushauri pia mm ni muhitimu wa kidto cha sita 2021 na nimepata dvsion 1ya 9 nataka kusomea sheria UDSM au Mzumbe je inawezekana?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana jukwaa natumaini mpo salama muda huu na poleni kwa majukumu ya kila siku. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wadogo zangu (mmoja ndo mdogo wangu wa damu na wawili ni rafiki zake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mdogo wangu wakike kafaulu advance kapata divion two ya11 he chuoni anaweza enda somea course gani
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Je unatafuta Sehem ya kusoma CPA Review Classes? BCC Financial Consultants ni sehem sahihi ya kuweza kufikia Ndoto yako....huto jutia wala kujilaumu, Kuna walimu wengi na Wazuri Sana (Wanajua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bodi ya Mkopo imefungua leo usiku maombi ya Mikopo kwa wanafunzi. Fungua link hii kufanya applications. https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/pre_applicant/ Kwa wakazi wa Tegeta, Boko , Bunju...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba anisaidie au hata mawasiliano ya karibu na chuo hicho
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna umuhimu gani au lengo kuu la kuwa na uwongozi wa serikali ya wanafunzi vyuoni inayoundwa na viongozi walioko chini ya mwamvuli wa chama cha kisiasi ni lipi /gani?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Moja ya jambo ambalo linatakiwa kutiliwa mkazo kwa sasa ni namma ambavyo mfumo wetu wa utoaji elimu unavyoathiri vizazi vyetu hasa vijana. Ni mfumo ambao unalenga sana kuwaandaa wanafunzi kuwa...
2 Reactions
0 Replies
978 Views
Huu ni ukweli mchungu. Tukubali TUKATAE. Huwa nacheka sana nikisikia vyuo vinatangaza nafasi za masomo, hasa hivi vyuo uchwara. Unajiuliza kwa ajili gani? Vijana wanapoteza muda wao na fedha...
12 Reactions
57 Replies
8K Views
Hapa iwe sehemu maalumu ya kuchukua maoni ya wadau kuhusu maboresho ya Mtaala wa elimu Tanzania Naomba wizara iwe inapita kwenye huu uzi 1,Somo la historia ya Tanzania liwe somo la lazima ila...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Walimu wa Geography naomba points hata 4 za swali hili. It is argued that, population growth in developing countries has become the big problem. verify the statement by giving eight points.
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari! Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Chagua swali kisha jibu, nitapitia jibu lako kwa kuweka reaction ("thanks👍" ikiwa umepatia na " Wow😲" ikiwa umekosa). 1/ Which grows faster? A. Hair B. Finger C. Nails 2/ I have...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
guys naomba ushauri nimesoma comb ya HGE lkn toka o level nilipata "F" ya math hadi advance lkn ninashida xana ya kusomea biashara chuoni.na nimepata division 1 ya 9 advance.nifanyaje Sent using...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wandugu, kijana amemaliza form 6 kapata 1.7,anataka sheria, ni chuo gani kizuri anaweza kusomea🙏🙏
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, kama kichwa kinavyojieleza kwenye kufanya application za mkopo kila nikiingiza namba ya kidato cha sita inakataa shida itakuwa ni nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi salam kwenu nyote. Jamani nina kijana wangu wa kike amemaliza four mwaka jana na kupata div 4. Katika kihangaika kutafuta pahala pa kumpeka kuna jamaa yangu kanielekeza hapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna Bs in environmental science and management na Bs in laboratory science and technology ziko Ardhi University. Swali ni.. zinafaa kumshauri mtu akasome "in terms of" soko lake uraiani na ugumu...
0 Reactions
2 Replies
653 Views
Mpatie mwanao kitabu hiki chenye muongozo wa namna ya kuweza kufaulu mitihani yake. Ni kitabu kilichojaa mbinu za kusoma na kuelewa kile anachokisoma,mbinu za kukumbuka kile alichokisoma,mbinu za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom