Kwa anaefaham naomba anisaidie namna ya KUJISAJILI na mitiani ya bodi tayari Nina account ya MEMS nimesha upload vyeti Sasa bado sielewi nini nifanye kukamilisha Hadi niweze kulipia Ile ada ya...
Habari zenu wakuu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba ushauri nisome Master's ipi kati ya hizo nilizozitaja? Na kama kuna chuo kizuri unakifahamu kwa masomo hayo usisite...
Habari wakuu jukwaani leo tutaangalia vipi Mwanachuo anavyo weza kufaidika na Mkopo wa elimu ya juu kwenye kuwekeza. Awali ya yote Turudi nyuma kidogo kwa kuelewesha haya.
Hakuna mwanachuo Miaka...
Habarini!,mim ni mtarajiw wa kujiunga na chuo kwa mwaka 21/22
naomb kwa anayejua vyuo vinavyotoa coz za agribusiness na economics,ambvyo n vya serkali,kulingan na ushindani wa izo koz(ufaulu Wang...
Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi.
Swali linajengwa na hoja hii:
Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata...
Swali...
Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi...
Maisha ya chuo kikuu ni mafupi Sana, maisha ya chuo ni Kama ndoto ya kuota usiku na kuamka ahsubui kukiwa kumekucha.
Vijana wengi waliovyuoni huishi maisha ya kifahali Sana na kusahau uhalisia wa...
Ni wazi kwamba mifumo wa elimu yetu hapa nchini Tanzania haijaweza msaidia mwanafunzi kujisimamia na kuendesha maisha yake bila utegemezi wa wazazi/walezi au kuajiriwa.Kwa kiwango kikubwa cha...
Habarini za asubuhi wakuu?
Nilikua naomba kuuliza ni taratibu zipi shule inapotaka kupeleka wanafunzi bungeni kwaajili ya ziara ya kimasomo inapaswa kufuata?
Salaaam wana jukwaa wa Jf
Nina jamaa yangu yupo nje ila anatarajia kurudi bongo kufanya internship na ameniomba nimchagulie hospital ambayo iko nje ya Dar maana hapendi kuishi Dar.Hospital gani...
UTANGULIZI
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari. Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa...
MHESHIMIWA JOYCE NDALICHAKO (WAZIRI WA ELIMU) NAOMBA TUZUNGUMZE KIDOGO)
Mhe Waziri,
Heshima kwako.................... …..
Nakupa salamu kwa lugha ya kikwetu Usukumani, "Ulimholla mayu ungumbyala"...
Jamani wana jamii wenzangu naomba kujua kuwa kweli computer science haina Ajira kama watu wasemavyo?, Maana nina mdogo wangu amechaguliwa hiyo course ila mkopo amepata je? Serikali inaweza kutoa...
wakuu salute kwenu,
Jamani katika harakati za kuaply mkopo.. ukiangalia hiyo attachment hapo chini ..
naombeni kujua kuhusu hizi hatua
1. tertiary education
2. guarantor.
halafu wakuu naombeni...
Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa.
Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
Wapendwa katika bwana, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Degree ya Business Administration nina mpango wa kusoma mpaka ngazi ya Masters...
Nimelipia nacte ili nipate award verification number, lakini mpka sasa sijaona chochote, mwenye uelewa, tafadhali anisaidie, huwa wanamaliza siku ngapi kuituma.
Natumai wote ni wazima,
Nia yangu kubwa ni kufahamu je kuna kozi za ubaharia za mda mfupi? Je gharama zake zikoje?
Ninandoto ya kuwa baharia lakini mazingira yangu yananibana ndyomaana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.