Ninaishauri serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuanzishwa kwa mtaala wa ujasiriamali katika kila level, ili iweze kuwasaidia vijana wengi pindi wanapomaliza au kuhitimu...
Msaada jamani wadau kwa yeyote aliyefanya application chuo cha SUA ,anisahidie najaribu kuchagua kozi ninazo zitaka ila sioni sehemu ya ku save baada ya kuchagua
Habari wana JF, natumai muwazima wa afya.
1. Naomba kujua ni muda gani ambao mtumishi {mwalimu} anapaswa afanye kazi ili awe na vigezo vya kupewa ruhusa ya kwenda masomoni bila kusimamishiwa...
Habari wakuu,
Ngoja nisipoteze muda nahitaji msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi zifuatazo:
1. BSc. Land management and valuation-Ardhi University
2. BA. Economics-Aru or...
Habari Wana jf,
Dogo hapa amepata matokeo ya PCM(C,C,D) respectively na anadivision 1.16 lakini aliomba chuo hawakumpa KIPINDI Cha selection Sasa tumejalibu kuapply.
Je, kwa ufaulu huu katka...
Habarini, ndugu yangu amepata division 3 point 15 matokeo yake ni kama ifuatavyo
Chemistry-S
Biology-E
Geography-D
je anaweza kweli kupata chuo degree yoyote hapa kwetu. nimesikia pia wasichana...
Habarini wanajukwaa
Wakubwa naomba msaada wa kimawazo kuhusu chuo
Naomba mawazo yenu natamani kwenda kusoma kozi ya chemical engineering au nisome production and operation management pale mzumbe...
Ninamdogo Wangu Amemaliza Form six Amesoma CBG lakini Matokeo yake ni kama ifuatavyo
Chem:E
Bios:E
Geog D
Bam:E
Gs:E
Amekosa sifa zakwenda chuo kikuu so inabidi akasome diploma na Muhusika...
Kwenye mchakato wa ku-apply SUA kwa mfumo wa online, wakati wa ku- register account unaambiwa "email not sent" na ukijaribu ku-recover password kwa kuweka username na phone number unaambiwa "wrong...
Kwa wale wenye uzoefu katika suala la kuappeal emu tusaidiane.
Mimi mbona nikijaribu kulogin kwenye account yang inakubal kuloig lakin haioneshi distribution ya mkopo wangu.
Maana nilipata mkopo...
Tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?
Kwanza kabisa namshukuru mwenyenzi Mungu na then na washukuru Job Junction Tanzania kwa mafunzo ya interviewees skills na huduma zao wanazo toa.
Mm kabla sijawatembelea Job Junction Tanzania...
Wadau wa Jf ,nina mtoto wa kike kamaliza darasa la saba , sasa wamempaga shule ya kata ,shule yenyewe haifanyi vizur kabisa,na mtoto wangu uwezo wake ni mzuri kiasi ,amepata wastan wa B ,kwa maana...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo
Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi...
Habarini za muda huu Ndugu zangu.
Naomba msaada wenu! Kuna kijana wangu aliyemaliza kidato cha Sita yupo JKT kwa sasa hivi. Naomba ushauri ni fani zipi au idara zipi zitamfaa kujaza kwenda Chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.