Kwa sababu ya ukuaji mkubwa wa teknolojia baadhi ya Taaluma zipo mbioni kupotea kabisa
1. Udereva
2. Udaktari
3. Mkutubi
4. Mweka Hazina
5. Wafanya kazi wa Benki
Link: Zifahamu taaluma sita...
Habari ndugu wana JF Mimi ni kijana niliemaliza chuo mwaka 2021 katika program ya bachelor of education in psychology chuo kikuu cha Dodoma, sasa kuna NGO moja niliomba kama volunteers hapa...
Habarini ndugu..kama jina la kozi linavyoonekana hapo juu kuna mdogo wangu kachaguliwa Udom kusomea hiyo kitu
Nlikuwa naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo course anieleweshe kidogo... ahsanteni
Sent...
Salaam nyote wanajukwaa. Poleni na hongereni kwa juhudi zote mzichukuazo dhidi ya janga hatari la corona.
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Mimi muhitimu wa shahada ya sayansi elimu (bsc...
Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda,
Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa...
Habari wadau, Kuna mdogo wangu yupo Moshi Mjini anahitaji arudie MTIHANI wa kidato cha nne katika masomo matano ya arts, anahitaj huduma ya tuition na kurudia mtihani.
Naomba Mwenye kujua kituo...
Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa
UDOM - Diploma in pharmacy
OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology
ST JOSEPH - Bachelor of science with education in...
Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye...
Salamu, huyu ndugu jinsia ya ke .kachaguliwa chuo Cha Moshi co_operative university kozi ya bachelor degree in business information and communication technology.
Mwenge catholic university kozi ya...
Hali yangu Kiuchumi
Nimetunukiwa Diploma 2010.
Nilikuwa kwenye Ajira hadi march 2015.
Nikapata wazo la kuongeza Elimu hivyo sikutaka kuajiriwa tena ili nisipate usumbufu wa kujiunga Chuo...
Kwa wenye madogo wanaomalizia msoto wakujitakia ndani ya JKT, Bodi imewaongezea siku 10 kuanzia tar 20 hadi 30 ili waweze kuomba mikopo ya elimu ya juu.
Nimeamua kuuanzisha uzi huu maalum kwa wanaoijua kozi hii na wale waliochaguliwa hapo! kumekuwa na mkanganyiko mkubwa juu ya carrier wa bachelor of science in biology juu ya upatikanaji wa ajira...
Ninaishi mtaa ambao huwa una kelele sana muda mwingi kupitiliza mpaka saa 6 usiku ndio kunatulia
Je, nikiwa naamka usiku wa manane kusoma haitadhuru ufanisi wangu na afya pia?
Nishaurini wakuu...
Habari wanajamvi ... nna mdogo wangu Matokeo yake ya O-Level ni Div 1 Ya Point 16
B.marth =B
Phy =B
Chem =B
Bios =B
Civ =B
His =C
Geo =C
Kisw =C
Eng =C
Na Advance ni Div 2 ya point 10(PCB)
Phy =D...
Habari za saizi wana jukwaa[emoji112] popote pale ulipo ndani ya mipaka ya Tanzania na hata nje.
Kulingana na matokeo ya kidato cha sita, wengi wa wadogo zetu wanatamani kujua vyuo bora vinavotoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.