Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hakuna atakayebisha kwamba elimu tunayopata ina kasoro,tena kasoro kubwa.Wengi wetu tumekuwa tunajiuliza kwa nini mambo yako hivi yalivyo, bila majibu.Sisi tunaishia kutumia inventions za wengine...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello jf jitahidini kuwapa ndugu zenu au mtu yeyote. Hii fursa ni nzuri sana...ni kama ajira ya moja kwa moja. Israel wako vizuri sana katika kilimo. Nitafurahi kama kati yetu humu jamvini atapata...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wadau, Nina degree ya Economics nataka kusoma Masters ninazo kozi mbili naomba mnishauri ipi ina soko mtaani kati ya Msc Finance and Investment toka IFM na Msc in Economics from Open...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
jamani naomba msaada kwa yoyote anayejua chochote kuhusu faculty inayoitwa agronomy?
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Mahitaji Muhimu: 1. Hakikisha mwanao amekamilisha mchango wa chakula kwa mhula wa Kwanza. Hatutatoa nafasi ya hosteli kwa yeyote mwenye madeni ya nyuma ya chakula kwani hatuna chakula kabisa. 2...
1 Reactions
2 Replies
638 Views
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) SELEMANI JAFO amesema jumla ya wanafunzi elfu 73,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2020 na kutakiwa...
2 Reactions
59 Replies
9K Views
combination ipi nzuri kati ya HGE na CBG naombeni maoni yenu wakubwa
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Kuna mahali nilikaa tukabishana hawa wasomi wawili professor na Dr ni yupi msomi zaidi na ni yupi mtaalamu zaidi na yupi senior zaidi? Nimeuliza hivyo maana nimeshamuona professor mwenye master...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Maana wengine husema Certificate wengine Diploma nani sahihi..???? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari! Msaada tafadhali naulizia hapa Dar kunako patikana vyuo vya ufundi wa kushona nguo, anayefahamu anipe maelekezo!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu. Mimi ni kijana mwenye ambition kubwa ya kuja kuwa nahodha wa meli, nimejaribu pia kufuatilia njia gani nifanye ili niweze timiza ndoto zangu, kwa kuwasiliana na Chuo cha Bahari...
0 Reactions
56 Replies
15K Views
Jana jioni nilikuwa natokea maeneo ya Changanyikeni. Changanyikeni ni eneo lililokaribu kabisa na Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Nilikutana na kundi kubwa la wanafunzi wakitembea kwa mguu na...
1 Reactions
94 Replies
16K Views
A man came home from work late, tired and irritated, to find his 5-year old son waiting for him at the door. SON: 'Daddy, may I ask you a question?' DAD: 'Yeah sure, what it is?' replied the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wakuu,kama title ya thread ilivyo naomba kuuliza hii kozi ya environmental engineering inahitaji requirements gani ili uweze kuisomea ?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa waliosoma Mzumbe na SUA miaka ya nyuma watakuwa wanamjua huyu jamaa chek-bob. Wajihi wake Mrefu Mweupe Bichwa kubwa Sana lenye kipara Miwani juu ya kichwa Jinsi muda wote Makalio makubwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JamiiForums, Nitumie dakika chache kuwaombeni ushauri kama kichwa kinavyosema. Nimepata baadhi ya kozi zinazotolewa na vyuo vya VETA (Vocational Education and Training Authority) hapa...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Hiv mwenye iii ya 25 kwa alama civ D,hist C,kisw C,geo D,Engli C,bio D,Math D anaweza kwenda kidato cha tano shule ya serikali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Hellow Wana jamii, naomba MSAADA kwa mtu yeyote yule ambaye anaweza fahamu kuhusu majibu ya application nimeapply chuo Cha TIA (Tanzania institute of accountancy) kwa ngazi ya cheti sijajua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za majukumu naomba kufahamishwa namna ya kubadilisha shule uliyochagiliwa kujiunga Kidato cha Tano.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Kama kichwa kinavyojieleza Swali: Barua isiyokua na nambari ya Kumbukumbu Namba ni sawa na ujumbe uliopotelewa njia. Jadili kauli hii kwa hoja madhubuti. Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom