Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka jana (2014),matokeo yake ni mabaya amepata pass ya mwisho(0.3GPA)... tangu tupate matokeo...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Mimi nmemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019 na matokeo yangu yakatoka mwaka huu 2020 ufaulu ulkua n civ - C Hist - D Geo - C Kisw - C Eng - C Chem - C Bio - C Phy - D Math - D jumla nkawa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana changamka, omba vyuo. Kila la heri! === Moderators samahani mliweka Tangazo la mwaka jana. Nimefanya editing na kuweka la mwaka huu posted on 15th June 2020 BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA...
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Niko form Five, nasoma PCB. Nataka kubadili combination kuchukua PCM, Je inawezekana?
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamani naomba mwenye kujua dirisha na kuomba vyuo NACTE kwa intake ya October linafunguliwa lini anijuze. Au mambo ya kufungua dirisha yaliisha?
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Salam ndugu wana JF, Naomba kuuliza, hivi application za vyuo kwa ngazi ya diploma na cheti tayari zimeanza au tayari muda wake umeshapita? Kwa mwaka 20/21 Ninamdogo wangu nahitaji nimfanyie...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada wen, mdogo wangu wa amechaguliwa kozi mbili kujiunga elimu ya chuo kikuu. Moja ni Bachelor of science Food science and technology SUA morogoro na nyingine ni Bachelor of...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wazoefu wa masuala ya mikopoko ya Vyuo Vikuu, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuomba mkopo ili kufanikiwa kupata mkopo ikiwa sifa yako ni mhitimu wa diploma. Michango yenu muhimu sana.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye notes za Economics na Geography kwa mfumo wa PDF naziomba
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zangu mwaka jana nilipata chuo pale makao makuu. Sasa nilibidi niache maana sikupata mkopo na mimi ni diploma holder na pia course niliyochaguliwa ilikuwa priority. Sasa sijakata tamaa...
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Here below is a link to the problem I'm concerened about. A best approach to its solution, has been provided by math24 website staff. I really like their approach! However, I also have tried to...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Wasalaam wakuu, Naomba kujuzwa aliyesomea masuala ya Telecommunications engineering anaweza kufanya kazi gani nyingine nje ya kuajiriwa kwenye makampuni ya Simu?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Samahani wakuu nilikuwa naomba msaada wa kujuzwa kuhusu careers ambazo zinatokana na Electrical engineering kwa ngazi kuanzia certificate hadi PhD?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Naomba msaada Kwa anaejua faida za kusoma Kwa mfumo wa Cambridge. Na shule za A level zinazofundisha Kwa mfumo wa Cambridge. Na matokeo yake naweza...
0 Reactions
1 Replies
37K Views
Wakuu naomba kama kuna mwalimu yeyote au mtu yeyote mwenye notes za masomo yote kuanzia ngazi ya primary hadi advanced level zilizo na maelezo mafupi na mazuri kwa mahitaji ya wanafunzi ili...
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Sote tunafahamu kwamba VETA ni sehemu sahihi ya watu kuendeleza au kuibua vipaji vyao katika fani mbalimbali. Ni bahati mbaya sana VETA haipewi kipaumbele kiasi kwamba vyuo vingi havinauwezo wa...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habarini za asubuhi. Nimeicopy hii kule tweeter. Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Wandugu naona UDSM wameanzisha hiyo program hapo, naomba kama kuna mtu ameishaisoma au anasoma atupe uzoefu kwa maana ya ubora wake na kama jamaa bado wana usumbufu kama wa thesis Nawasilisha
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwenyew softcopy ya masomo ya PCM kwa A LEVEL
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Walimu wenzangu na wadau wote wa elimu mliomo humu naomba mnisaidie notes za english medium primary schools au kama kuna mtu anaweza kunipa link. natanguliza asante
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom