Alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2018 akapata Division 4 yaani D zote. Sasa akarisiti matokeo yamekuja kapata F zote.
Je, wakuu anaweza kutumia cheti chake cha kwanza kwenda chuo?
Maoni...
Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown
Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la...
Naomba kufahamu Kizumbi campus kipo mkoa/wilaya/gani? Pia naomba kufahamu Human Resource Management ni masomo yanayohusiana na nini? Mimi darasa la Saba la mkoloni, Kuna mdogo wa rafiki yangu...
Habari,
Baada ya salam niende kwenye hoja iliyonileta.. Ninae anko angu hawa waliomaliza Form Four juzi kachaguliwa pale IAA kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Sasa nina maswali mawili nahitaji...
Naomba kujua mwanafunzi akichaguliwa direct kwenda Chuo badala ya form 5 je gharama za Ada zinalipwa na serekali wenyew aw mzazi ndio anapaswa kulipiaaa
Wanajamvi,
Poleni na majukumu. Naomba ufafanuzi kuhusu hii course ya International Relation and Diplomacy. Watu wanaosomea hii course huwa wanakuja kufanya kazi gani na wanafanya kazi wapi...
WanaJF naomba mwenye ufahamu juu ya hili anifahamishe. Nimeambiwa kwamba pale Lugalo JWTZ camp DSM kuna chuo cha uuguzi, swali langu ni kweli hicho kipo? Pia je hicho chuo kina-train clinical...
Wakuu habari nina mdogo wangu alimaliza form four Mwaka 2012 alipata ufaulu wa four ya 28.
History C
Geography D
English D
Kiswahili D
Civics D
Biology D
B/mathematics F
Sasa anahitaji akasome...
Serikali imetoa leo orodha rasmi ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano pamoja na Shule walizopangiwa.
Kutokana na wengi kuulizia mazingira ya shule walizopangiwa na kuanzisha...
Samahani jamani kuna ndugu ang, kafelishwa na mwalimu fulani, alikuwa anasoma clinical medicine, ndo kwanza alikuwa semister ya kwanza, je anaruhusiwa kuomba tena?
Habari wapendwa poleni na majukum ya kazi.
Leo nimeona tujadili kitu kimoja hivi mtu anakuwa nalengo ya kuwa daktari au mhandisi au hata hakimu ila kwa bahati mbaya unafeli mtihani wa kidato cha...
Angalia hapa 👇👇
http://tamisemi.go.tz/announcement/waliochaguliwa-kujiunga
Wasichana wote waliofaulu kidato cha Nne kujiunga kidato cha Tano,Vyuo vya Ufundi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
Wapndwa naomba msaada kwa yeyote aliyeko chuo kama anaweza kunisaidia kunichekia timetable ya sup kwa somo la EC.116 inafanyika lini. Plz naombeni msaada.
Kati ya:
1. ARU (Bachelor Science in Accounting and Finance)
2. UDOM (B. Com Accounting)
3. Mzumbe (BAF)
4. TIA (BAF in Public Sector)
5. UDSM (B. Com Accounting)
6. University of Iringa (BAF)
In...
Habari ndugu zangu wana JamiiForums.
Naomba kutambua vyuo vinavyotoa (kufundisha) kozi zifuatazo kwa mkoa wa Dar es Salaam.
1. Basic or Technician Certificate in Office Assistance.
2. Basic or...
Leo nacte wametoa tangazo la ku confirm kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuo. Sasa nmeona ada wameandika 900000 kwa chuo cha M.U.S.T na 850000 kwa chuo cha ARUSHA TECHNICAL COLLEGE wakati hao...
Wadau naomba mnisaidie,
Kuna dogo Tunataka afanye applications
Kati ya Nursing, Pharmacy Au Clinical officer,
Je Mda wa kufanya app ushafika?
Au jee kuna vyuo vimefungua maombi vyenyewe?
Chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.