Jamani natumai mu wazima.
Niende moja kwa moja anayejua app nzuri ya kupata notes za primary tz English medium schools anisaidie.
NB: thl nimetumia ila imenishinda kitu kidogo so anaeweza...
Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo!
Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
Ndugu zangu naombeni mawazo yenu, nisome diploma ipi Kati ya hizi. Nina vigezo vyote vya kujiunga na hizi kozi.
Mimi nataka kozi itakayo nipa fursa ya kujiajili na kuajiliwa
Diploma in...
Natumai siku si nyingi hapo mbeleni shule zitafungulia itakapowapendeza watawala,
Hivyo basi, Naomba kufahamishwa shule nzuri ya boarding (english medium) kwa Dodoma. Iwe ya shirika ama...
Msaada tafadhali kwa wale wanaojua mahala pa kuniwezesha mm kupata notes za Advance level Chemistry, Biology and Nutrition.
Mm ni Me,
Napatikana CHAMAZI MBAGALA RANGI TATU
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne 2019 na matokeo yangu yametoka mwaka huu 2020 na yanaruhusu mimi kuendelea mbele na jina langu kwenye cheti cha kuzaliwa limekosewa na ninahitaji...
Natumai mu wazima na mnaendelea vema kwa msaada Wa Mungu.
Nimekuwa na shauku ya kujiunga kwa Level ya Master's katika chuo hiki. Mwenye uelewa juu ya taratibu kwa mtu aliyenje ya Uganda kujiunga...
Habr zenu wanajamv,nimechaguliwa hiyo kozi pale NIT lakini sikuiweka katika machaguo yangu niliyoweka TCU.Yani nahisi kuchanganyikiwa maana huku mtaan naambiwa kwamba naenda kua fundi...
Naitwa selina ni mwanachuo nasomea uhasibu AAR ngazi ya Diploma,
Jamani tangu misukosuko inipate nimejikuta kasi yangu ya kusoma imepungua sana hadi lecture akauliza darasani nina matatizo gani...
Habari za leo Wajamvi wa JF
Naomba kama kuna mtu mwenye uelewa na taarifa za uhakika Bodi ya Mikopo Tanzania (HESLB) au kuhusu Ufadhili wa wowote wa kusoma SHAHADA ya UZAMILI anipatie kwa haraka...
wasalamu... wale tulioacha chuo kwa hiari baada ya kugundua tunatakiwa kuunda system zetu za kutoka kimaisha na sio kufata mfumo usio na masirahi kwa speed hii ya maisha tujuane hapa .
binafs...
Wana jamvi habari I za wakati huu na amini wote wazima munazidi kupambana vyema na janga la COVID19 inayo sababibishwa na kundi la VIRUS'S aina ya CORONA.
Kama kichwa kinavo jieleza apoo juu...
Samaleko.
Natumaini ni wazima wa afya kabisa, ukiachilia mbali vitabu vya mashuleni kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu, katika maisha yangu sijawahi kusomaga somaga vitabu vya riwaya aidha za...
Nakumbuka nilifaulu la saba kwenda Azania lakini Mzee akakomaa kunipeleka Makongo Sec. Enzi hizo mkuu wa shule ni kanali mstaafu Idd Omar Kipingu, aisee Ile shule (enzi hizo) ilikua balaa. Kulikua...
Wadau naomba kujua taarifa kuhusu hiki chuo kinachotoa online study scholarships na kama kuna mtu amewahi some kupitia chuo hiki anipe dondoo maana nimeomba masters degree in business...
Nilisikia kuhusu kitabu hicho miaka michache iliyopita, na kwamba ni kitabu kilichoandikwa Marekani,USA. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze wana JF na kinapatikana wapi. Mimi binafsi nakitafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.